Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Umefanya la maana sana baba mwenye nyumba nakuunga mkono na mguu
Watu wasiojiheshimu wataona unakosea
Si alipaswa amshauri atumie radio Ku neutrize sauti....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoa taarifa lazima ni mwanamke na atakuwa yeye hafikishwi ndo maana anaona wivu
Mind your business mzee achana na hao wapangaji wakuda
 
Wenye nyumba kama nyie wanoko sana , mwenyewe pia hapa nimepewa notice et kisa naleta wanawake natomba saut zinatoka nje , kwahy jamaa kanitimua et namwalibia maadili nyumban kwake ............ila hamna shida
 
Tatizo hili utakutana nalo zaidi kwa wamiliki wa nyumba za kurithi haswa mikoa ya pwani na wengi wao ni wenyeji wa mikoa ya kusini Mtwara na LIndi. Unakuta anaishi around kwenye hio nyumba ya wapangaji na kula yake inategemea hizo kodi.

Mtu mwenye uwezo wa kumiliki kijiji cha apartments huwezi kukuta ana michongo ya kufuatilia wapangaji.
 
Tatizo hili utakutana nalo zaidi kwa wamiliki wa nyumba za kurithi haswa mikoa ya pwani na wengi wao ni wenyeji wa Kusini.
Nshawai kukaa nyumba moja ya mchaga wa Rombo pale mwananyamala koma koma na yeye alikua anaishi pale pale, Mzee alikua nuksi kwelI kweli, Masharti kibao + kufuatiliana sana, ikabidi nikimbie
 
Hebu tuwekee hiyo audio ili tukuamini.
 
Nshawai kukaa nyumba moja ya mchaga wa Rombo pale mwananyamala koma koma na yeye alikua anaishi pale pale, Mzee alikua nuksi kwelI kweli, Masharti kibao + kufuatiliana sana, ikabidi nikimbie
kukaa nyumba moja na mwenye nyumba ni first degree mistake. Jua tu umeshauza uhuru wako from the very beggining.
 
Wawekee gypsum board nzuri caiman unapunguza hayo mambo
 
Umemfukuza mtu Tayari unakuja JF kujitapa Au,watu wengine bwana
 
Angaweka vioo madirisha yake akiwa anagonoka awashe redio kidgo na kufunga vioo afanye fujo isio umiza meache aponde mfupa ingali meno bado ipo vijana wengi asilimia kubwa tupo ivo
 
Huu uzi wako umelenga zaidi katika kutoa ushauri kwa vijana hasa wa dar πŸ˜„, Tukuambie tu kitu baba mwenye nyumba sisi vijana wengine kubadirisha wanawake kila wakati ndio kitu kinachotuingizia pesa πŸ™.
Baba mwenye nyumba aache ushauri 😁😁😁
 
Kuna madogo kwa siku anaweza ingiza geto zaidi ya watatu, hii mbaya sana haileti picha nzuri
Haileti picha nzuri kwa nani? Kwahiyo unakaa unahesabu mtu kaleta wanawake wangapi, huna kazi ya kufanya?
 
Angekuwa ameoa na anafanya na mkewe usiku wa manane...maamuzi yako yangekuwa tofauti?
 
Wewe Limbukeni acha uzwazwa wako hapa,kama ni kweli unayoyasema basi ni wazi kwamba wewe ni nyuki wa mashineni na huna madhara
 
Wahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
Ulimpangushaje Sasa kama masharti yako mpaka awe ameo ..hao wengine wote wameoaaa..... Mzee acha zako wivuuuu tuuu ...amekugongea Mke wewe unaleta hasira ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…