Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Kwa kweli inasikitisha Sana

Kama ingekuwa Mimi ningetulia Kwanza na kupumzika.
Ile mbinu ya kukuweka ndani wakikosa ushahidi inakuwa ni njia ya kukuzuia kuendelea na shughuli zako za kiuchumi ulozizoea.

Alikuwa akitengeneza zile clips za TikTok zikimuingizia chochote.

Pia hata shughuli zake zingine wamefunga.

Ukiwa mcharikaji kama mie hapa New York napiga kazi kama tatu tofauti kisha mara zinakuwa zimefungwa ni lazima uchanganyikiwe khasa kama una familia au watu wanokutegemea.
 

Sasa nakuelewa.

Kwa hiyo ni namna ya kujinasua. Anafanya matangazo kwenye maduka lakini pia anaongea mada tata Sana ambazo zinapingana na msimamo wake wa awali hali inayomfanya azidi kutia huruma
 
Kwenye maisha msimamo ni kitu Cha muhimu sana,ukiamua kusimamia kitu basi simama nacho hata kama unakumbana na challenge.
 
Robert Heriel Mtibeli na waandishi wengine,natoa ushauri tu,mnapotoa habar ya watu fulani basi ebu tupeni details iliwezekana na clip zao kama ni watu wa mitandaoni

Mfano hii habar yako ndio imenifanya nimtafute huyu Mwandambo ni nani?

Huyu hapa tena; naamini baadhi ya watu walau watapata picha sasa

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…