Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Yani mi naona kuliko kuswitch upande watu waliokuzoea nao Bora ukae kimya kama unaona umebanwa sana. Kunavitu vya kuswitch na visikuletee impact mbaya mf: mpira, mziki,chakula nk. Lkn sio siasa.
Jamaa mmoja aliwahi kusema msalti(kukosa msimamo) hupoteza Imani pande zote. Yani anakosa Imani upande aliohamia na upande aliotoka, hataaminika tena ....! Hicho ndio kinachomkuta huyo Mzee.

Mfano mwingine ni mtu kama PITA MSIGWA, Huyu hataaminika tena na Kila pande za siasa ya inchi hii. Siasa ni msimamo hiyo ndio inayokupa heshima

Sahihi Kabisa
 
Hakuna mtu anayejielewa alalamike anapotezewa Muda sehemu ambayo hajalazimishwa kukaa, hajaalikwa wala kuitwa.

Hayo mengine ni ishu ya mtazamo wako vile unavyonitafsiri.
Na ninachojivunia ni kuona mpaka unatoa conclusion hii inaonesha unanifuatilia sana alafu huvutiwi na ninachokifanya😂😂
Unaona argument yako ilivyo weak. Kusoma andiko la mtu haimaanishi unavutiwa na anachokiandika. Mtu anaweza kusoma andiko la mtu kwa lengo la kutaka kujua kuna nini humo.
 
Unaona argument yako ilivyo weak. Kusoma andiko la mtu haimaanishi unavutiwa na anachokiandika. Mtu anaweza kusoma andiko la mtu kwa lengo la kutaka kujua kuna nini humo.

Hoja yako haitokani na andiko langu Ka Leo tuu. Hoja zako ni conclusion ya mada zangu nyingi. Ndio maana nikakupongeza kwa kuvutiwa na makala zangu mpaka ukagundua ulichogundua kwa ufahamu wako.
 
% kubwa ya coment zimeulalamikia huu uandishi wake wengi awajaelewa

Ila yeye anakomaa na kuona hao ambao awajaelewa wala kuona point kwamba ndo wana shida

Tukubali kukosolewa tusiwe kama wana CCM
Jamaa itakuwa ana matatizo ya akili, hashangai kuona wengi wanamponda kwa ngonjera zake, yeye anaona fresh tuu ety sisi ndo tuna matatizo 😂
 
Screenshot_20260607-205715.png
 
Back
Top Bottom