Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #121
Hapo najua anatamani aufute huu uzi ila ndo hivyo hawezi. Ngoja aendelee kula Knuckle
MTU awe jobless alafu amfanye mtibeli ajute?😂😂
Hapo najua anatamani aufute huu uzi ila ndo hivyo hawezi. Ngoja aendelee kula Knuckle
Na angekuwa karibu mimi ningemnyofoa hata oesophagusAendelee Kula za uso tuu 😂
Wamemchosha kama alivyosema anachoka..!!
Ana wadhifa gani huyu uduviTafuta habari zilizokakilika na ushahidi usije ukapoteza wadhifa wako, Huyo si Mwandambo.
Leo mtibeli ameyakanyaga, n mwendo wa ndonga tuu 😂
Wa kuandika mabango marefu yaliyojaa ujiko wa kitibeli na soga ndeeefu zenye ujumbe finyu ila muhimu sana.Ana wadhifa gani huyu uduvi
Mkuu achana kujibizana naye katika mtindo huu, ni kama unamsaidia chaka la kujificha kutokana na huu uzi wake wa kijinga. Mshambulie kwa logic sio kwa emotionsNataka wewe maana ni kigori unaewashwa utumbo mpana (colon)
Huyu hata kwa logic hatuwezi kwenda nae sawa maana inaonekana kichwani hazi-fit, we muulize tu mlima mrefu kuliko yote Africa kama hatotaja Mlimani City.Mkuu achana kujibizana naye katika mtindo huu, ni kama unamsaidia chaka la kujificha kutokana na huu uzi wake wa kijinga. Mshambulie kwa logic sio kwa emotions
Wapi nimetukana, nimekutukana au nimemtukana mtu?Robert Heriel Mtibeli kitokana na matusi yako nimekushusha thamani sana bro.
Ni ushauri wangu tu mimi hata sipo kiubishani.Wapi nimetukana, nimekutukana au nimemtukana mtu?
Taikoni kawekewa kitu taconimkuu watibeli hatupohivo,. ko umetutamanisha hujatueleza shida yake,! we taikoni sijui umepatwa na nin.
mkuu watibeli hatupohivo,. ko umetutamanisha hujatueleza shida yake,! we taikoni sijui umepatwa na nin.
Finally, bora umesema. Nilidhani niko peke yangu aliyeliona hiliWw jamaa una mada ndefu sana kiasi kwamba anayesoma anafikia point hajui anasoma nn, mbaya zaidi una maneno mengi mengine hayana msingi wowote wa kuyaweka.
Jaribu kupunguza ngonjera ili anayesoma asipate tabu kukuelewa, mana humo humo unachanganya kila kitu.
Ni ushauri wangu tu mimi hata sipo kiubishani.
Unajua nini mkuu. Unapodhalilishana naye of course inazidi kumfanya aonekane ni mtu wa hovyo ila pia hata wewe inakushushia heshima na pia inamsaidia yeye kushift attention kwenye uzi wake wa kijinga na kukufanya wewe kama scapegoatHuyu hata kwa logic hatuwezi kwenda nae sawa maana inaonekana kichwani hazi-fit, we muulize tu mlima mrefu kuliko yote Africa kama hatotaja Mlimani City.
Nimekusoma mkuuUnajua nini mkuu. Unapodhalilishana naye of course inazidi kumfanya aonekane ni mtu wa hovyo ila pia hata wewe inakushushia heshima na pia inamsaidia yeye kushift attention kwenye uzi wake wa kijinga na kukufanya wewe kama scapegoat
Nimekusoma mkuu