Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Story ndefu inapotaza maana ...mnaleta story katika mtindo wa taarabu.....story ya mtindo huu inatakiwa kupostiwa kwenye vijiwe vya mashoga na kinamwajuma ndala ndefu.
 
Kawaida yake. Kuna huyu na Mzee wetu Mayalla wanaandika sana wanaanzia mbali na vitu irrelevant na uchawa humo humo.

Ubaya wanaandika nyuzi almost kila siku. Mpaka unaamua kupishana na nyuzi zao au uje direct kwenye comment. Na hawana niche hivyo hama die hard fan wa kusoma urefu huo.
 
Hasa kwa Mwanaume ambaye ameshakuwa mtu mzima.
Kwa vijana wadogo tutasema walikuwa wamekurupuka damu changa.
Lakini inaumiza mtu mzima akiwa kigeugeu
Yani mi naona kuliko kuswitch upande watu waliokuzoea nao Bora ukae kimya kama unaona umebanwa sana. Kunavitu vya kuswitch na visikuletee impact mbaya mf: mpira, mziki,chakula nk. Lkn sio siasa.
Jamaa mmoja aliwahi kusema msalti(kukosa msimamo) hupoteza Imani pande zote. Yani anakosa Imani upande aliohamia na upande aliotoka, hataaminika tena ....! Hicho ndio kinachomkuta huyo Mzee.

Mfano mwingine ni mtu kama PITA MSIGWA, Huyu hataaminika tena na Kila pande za siasa ya inchi hii. Siasa ni msimamo hiyo ndio inayokupa heshima
 
Sasa mtu anaweka hadi story zisizoendana na mada mpaka unashindwa kujua ushike lipi uache lipi
 
Mfano mwingine ni mtu kama PITA MSIGWA, Huyu hataaminika tena na Kila pande za siasa ya inchi hii. Siasa ni msimamo hiyo ndio inayokupa heshima
Kitendo cha chadema kumpokea inaonyesha bado anaaminika.

Ila ingekuwa uwezo wangu, Msigwa asingegusa hata harufu ya chadema.
 
Wewe jamaa una inferiority complex. Huwa unalazimisha uwe relevant ila huna hiyo mental capacity matokeo yake unajikamua unaishia kuhara tu. Hapa umeandika nini sasa zaidi ya kupotezea watu tu muda wao
 
Hii kama text ya vitisho
au akili yangu inaenda mbali sana
 
Wewe jamaa una inferiority complex. Huwa unalazimisha uwe relevant ila huna hiyo mental capacity matokeo yake unajikamua unaishia kuhara tu. Hapa umeandika nini sasa zaidi ya kupotezea watu tu muda wao

Hakuna mtu anayejielewa alalamike anapotezewa Muda sehemu ambayo hajalazimishwa kukaa, hajaalikwa wala kuitwa.

Hayo mengine ni ishu ya mtazamo wako vile unavyonitafsiri.
Na ninachojivunia ni kuona mpaka unatoa conclusion hii inaonesha unanifuatilia sana alafu huvutiwi na ninachokifanya😂😂
 
Nilivyomwelewa mtoa mada, ametoa taarifa kwamba amekutana na Mzee Mwandambo(Mzee wa nachoka Mimi Baba yenu..) akiwa kwenye hali ya uchizi

Amemkuta jamaa ana dalili za kurukwa na akili

Lakini sote tunamfahamu huyo Mzee kama content creator, aliyejizolea umaarufu kwa kuongelea mambo ya Jamii, Siasa na hata Uchumi katika namna ya kipekee

Kilichomfanya kuwa chizi/kurukwa na akili wote hatujui

Ila nakumbuka mara ya mwisho alionekana akitolewa rumande baada ya kushikiliwa huko kwa siku kadhaa

Kwahiyo huenda amepata tatizo la msongo wa mawazo, ama alipokuwa kule wakaamua kumtengeneza


Kibongo bongo ukiwa mkosoaji wa Mamlaka, uwe umekubaliana na matokeo yaambatanayo na huo ukosoaji uufanyao

Wanasema ukitaka kurukwa...agana na nyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…