Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana


Sahihi Kabisa
 
Unaona argument yako ilivyo weak. Kusoma andiko la mtu haimaanishi unavutiwa na anachokiandika. Mtu anaweza kusoma andiko la mtu kwa lengo la kutaka kujua kuna nini humo.
 
Unaona argument yako ilivyo weak. Kusoma andiko la mtu haimaanishi unavutiwa na anachokiandika. Mtu anaweza kusoma andiko la mtu kwa lengo la kutaka kujua kuna nini humo.

Hoja yako haitokani na andiko langu Ka Leo tuu. Hoja zako ni conclusion ya mada zangu nyingi. Ndio maana nikakupongeza kwa kuvutiwa na makala zangu mpaka ukagundua ulichogundua kwa ufahamu wako.
 
% kubwa ya coment zimeulalamikia huu uandishi wake wengi awajaelewa

Ila yeye anakomaa na kuona hao ambao awajaelewa wala kuona point kwamba ndo wana shida

Tukubali kukosolewa tusiwe kama wana CCM
Jamaa itakuwa ana matatizo ya akili, hashangai kuona wengi wanamponda kwa ngonjera zake, yeye anaona fresh tuu ety sisi ndo tuna matatizo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…