Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Ni Mwandambo huyuhuyu ndo amekufanya uandike haya yote??
 
Haeleweki. Sasa hizi people hazina muda wa kufanya uhakiki just go straight, zama za AI hizi usituandikie kama Shaaban Robert
 
Msimlaumu sana mleta thread hii huenda naye amefikia stage aliyinayo Mwandambo maana kila mtu atachanganyikiwa kivyake na asijijue kuwa tayari amedata.
Kila mtu n mwendawazimu, n suala la muda tuu. Na muda wa mtoa mada ni sasa 😂
 

Serikali Ikiamua Kudili Na Wewe Either Ufe Au Uwe kichaa Uchaguzi Ni Wako...​
 
Pole san kwa kulialia mpaka makamasi yanabubujika!! Mwandambo kafanyaje?
 
Mwandambo....?

Labda kule kumtusi na kumdhuhaki YESU..?

Ni mawazo yangu tu
 
Ushaur TU

Unapoteza wasomaj wako wengi sana kwa mada ya sentensi tano TU nakuifanya kitabu

Dunia imehama huko mkuu
Mada yako ilikuwa na jibu dogo TU mwandambo n chizi au ?
 

Na hapo jamaa anajiita taikuni wa fasihi...
 
Amekua kichaa? . Mbona maelezo mengi halafu hauendi moja kwa moja kwenye point
 
Nimesoma, sikuelewa. Nimeenda mpaka page ya 5, labda kuna mtu kaweza kumwelewa mtibeli, sijaona chochote.
Huu ni moja wa uzi wa hovyo kuwahi kuletwa na Robert heriel
 
Mbona kama umechanganyikiwa
 
Nimesoma, sikuelewa. Nimeenda mpaka page ya 5, labda kuna mtu kaweza kumwelewa mtibeli, sijaona chochote.
Huu ni moja wa uzi wa hovyo kuwahi kuletwa na Robert heriel
Kavurgwa huyo!! Na nadhani ata mitihani ya kidato cha nne alipata alama D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…