Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

Ndugu zangu, naomba niwakumbushe kwamba Yanga imeingia nusu fainali

Mjadala uendelee
 
Maisha umemkabidhi
Ila madeni yako utapambana nayo mwenyewe
 
Umefanya uamuzi sahihi Sana Bwana Yesu akulinde
 
Uamuzi bora sana, Mungu akusimamie
 
Mungu akubariki sana na akutunze katika maisha ya safi na utakatifu!
 
Umechagua fungi jema,wewe uwe mwaminifu na mtulivu katika Kristo naye atakutunza salama, hatakuacha daima.
 
Mkuu hongera sana sana.

Sasa jitahidi kudumu kwenye mafundisho ya kuukulia wokovu na hakika Yesu hatokuacha
 
Ukiona mtu anaamini kwamba wokovu wa roho yake ni sharti kuwa mlokole Basi ujue ana shida kwenye akili yake

Ndio hao mwisho wa siku wanaangukia kunywa mafuta ya upako na kutoa sadaka za kujiteketeza!


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa hii ni azma yako MUNGU atakusaidia.....hata ukiteleza atakurudisha kwenye reli

Maisha ndani ya wokovu ni magumu Maisha njee ya wokovu ni magumu pia ndio maana umeamua kuokoka.

Muhimu ni kwamba unaye kristo utaporomoka na kunyanyuka naye! Utacheka na kulia naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…