Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
- Thread starter
- #61
AmenMungu akutunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu akutunze
Asante SanaUmechagua fungu jema
Mungu ni mwema sana atanipa nguvu ya kuvishindaAahh sio kweli bhana!!!...vina muda basi!....tutaona kama utaacha kupiga nyeto!!! [emoji23]
AmenGOD is great
Asante SanaBwana Yesu asifiwe mtumishi. Karibu sana kundini.
Umefanya uamuzi sahihi Sana Bwana Yesu akulindeHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Uamuzi bora sana, Mungu akusimamieHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
AmenHongera sana ndugu. Mungu aendelee kukutia nguvu za kuyashinda majaribu ya shetani, na usonge mbele katika Jina la Yesu Kristo.
AmenHongera sana Mungu azidi kukupigania Amen
Umechagua fungi jema,wewe uwe mwaminifu na mtulivu katika Kristo naye atakutunza salama, hatakuacha daima.Habarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Mkuu hongera sana sana.Habarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Ikiwa hii ni azma yako MUNGU atakusaidia.....hata ukiteleza atakurudisha kwenye reliHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Unataka kuokaka???Tupeni wongozo mi sio mlokole
Ningeshangaa kukosekana kwa comment kama hii ktk huu uzi maana shetani naye yupo kazini.Aahh sio kweli bhana!!!...vina muda basi!....tutaona kama utaacha kupiga nyeto!!! [emoji23]