Leo nimeona maajabu ya JF. Ina uwezo wa Kutabili kesho muda ambao mtu atapost Jambo. Hii hata Wazungu hawajaweza.

Leo nimeona maajabu ya JF. Ina uwezo wa Kutabili kesho muda ambao mtu atapost Jambo. Hii hata Wazungu hawajaweza.

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide.

unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia mwenyewe hapo chini. Nimeshangaa sana. Kwa kweli teknolojia inakua sana.

Screenshot_2025-09-02-10-03-15-786_org.mozilla.firefox~2.jpg
 
Wanasema mwanaume akiwa mwenyewe kwa muda mrefu inner child inaanza kutokeza anaanza kufanya utoto

Pole mkuu wewe ni mpweke
 
Wanasema mwanaume akiwa mwenyewe kwa muda mrefu inner child inaanza kutokeza anaanza kufanya utoto

Pole mkuu wewe ni mpweke
Ni kweli sasa nmekutumia nauli umekula?nyie mademu wa siku hizi hovyo sana. Hata wewe Joyce unanifanyia hivyo? Ulisema kabisa unakuja nipa kampani mke wangu kasafiri nikutumie nauli umezima na simu?
 
Back
Top Bottom