MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Ahsante nimepona,niliumwaaaaaa🙌 siku natolewa ndani kupelekwa hospital nikajisemea kurudi humu salama sijui.Oh my God!
Pole na wewe kwa kuugua umepona sasa?
Sasa kwanini ulihama wodi? Au ulifikiri kifo kinafuata mstari?Wiki zilizopita nililazwa aisee kitanda Cha karibu yangu aliletwa mdada kapata ajali ya bajaji nyonga sijui imefanyaje na kichwani,,,,alikata moto namuona aisee,nilihama wodi maana daah😥
Siku hizi bajaj nao kama bodaboda tu wanaendesha kwa sifa na upumbavu mwingi sana.Bajaj nadra sana kupata maajali.
Imegongwa au imeingia mtaroni?.
Ningebaki tu,sasa uogope nini?Wewe ungebaki?
Sawa.Ahsante nimepona now🙏,,,
Red black utuambie ulikua kwenye pikipik au bajaji?oooh.
Lakin tuk tuk ni bajaj.
Maana zilianzia India.
pia google uone.
😂😂Tokea uache pomb mambo Yako yanaenda mrama. Pole mkuu.
Sio kuogopa kufa,mwenzio ameletwa unamuona,baada ya muda pazia za kijani hizo😁🙌Ningebaki tu,sasa uogope nini?
Sawa.
Ahsante sana,Dahaa pole sana mamy
Kawaida tu,Sio kuogopa kufa,mwenzio ameletwa unamuona,baada ya muda pazia za kijani hizo😁🙌