Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

Bei ya simu yako nahisi unanunua kitanda cha 6-5 na na godoro, na pesa unayoitumia kunywea pombe ukiilimbikiza ndan ya wiki unalipa kodi miez mi3 ya kwanza maisha yanaendelea🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
🙏🙏
 
Mifugo naona Kama itakutoa kimaisha anza kufanya kazi ufugaji huko ndiko ulikoitiwa hivyo vingine vinakupotezea muda.
may be mkuu, nishawahi fuga kuku kwakipindi fulani ila sijajua kwanini niliquit hiyo game.
 
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.

Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.

So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Kwani huo u-poropesa wako ni wa Jalalani?
 
Kama umeweza andika humu hicho tu ulichotumia ni tayari wewe ni mmiliki.
 
Ndugu yangu mleta mada Wala usijione wa ajabu sana haya ndio maisha wanayo pitia vijana wengi sema hawana Platform la kujielezea.

Muhimu nikusonga mbele kuweka Nia na juhudi kwa chochote kinachokujia kufanya.

Wakati mmoja utazungumza kwa namna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…