Hakika kuacha legacy muhimu sanaNilipokuwa mdogo Baba yangu alikuwa akiniambia mara Kwa mara kuwa "Hata Mimi nlikuwa kama wewe"....Nilikuja kujua miaka mingi Sana baadae kuwa alimaanisha nini...Hakikisha ukifa usiache sifuri, lazima ukifa uwe umeacha alama.
Furahia kila kituHeri yako unasheherekea birthday, birthday sio ya kusheherekea ni ya kusikitika, maana miaka inavozidi kuongezeka ndivyo umri wa kuishi unapungua
Pia ni siku ya kutafakari umepiga hatua Gani ya kimaisha na unaenda wapi umefanya nini na una nini
Kingine kaka kula vyakula vya asili ili uendelee kuzichakatsKuishi laZima 🤣
Kwann umefikiria ushogaUshauri wa kiAtheist huo , hata akitaka kuwa Shoga ni blessings ?
35 bado kijana..na pesa ikiwepo huna mambo mengi unang'aa..mnoTunauaga ujana Sasa
Asante sana MkuuHeri ya kuzaliwa mkuu,
Pamoja na kwamba umepata ushauri mzuri sana mkuu, bado tunaendelea kukupa nakoz ili ukae mkao wa kula.
1. Ipende familia yako, watoto wako na mke wako. Hao ndio watu wa karibu zaidi hapa duniani.
2. Wape watoto makuzi bora na elimu bora.
3. Endelea kutafuta pesa, kwa hicho unachofanya, mkuu tafuta pesa. Hii dunia bila pesa "utaonekana" usiye na thamani.
4. Wekeza kwa ajili ya uzee wako, miaka 20-30 ijayo wewe utakuwa mzee, wekeza kwa ajili ya uzee wako.
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwako!
Ahsante kwa ushauri mlonzi wa jamvi[emoji1]Tafuta sana hela maisha ni katili lama huna kitu mfukoni