Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.

pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)

Inasikitisha sana

Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
 
Kwani rais ndio kufunga kanisa?

Aliyefanya ni wizara ya mambo ya ndani

Utawala bora unamtaka rais kutoingilia wengine
 
Uwezo wa Samia ni mdogo sana kuzuia haki ya watu kuabudi atatoka siku zake ni chache hawezi KUSHINDANA na MUNGU.
 
Kwani rais ndio kufunga kanisa?

Aliyefanya ni wizara ya mambo ya ndani

Utawala bora unamtaka rais kutoingilia wengine
Kwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwa
 
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.

pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)

Inasikitisha sana

Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom