Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

Kwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwa
Hajasema dini ya Gwajima ni yq kishetani
 
Kwani rais ndio kufunga kanisa?

Aliyefanya ni wizara ya mambo ya ndani

Utawala bora unamtaka rais kutoingilia wengine
Urais wake uko wapi kama wasaidizi wako wanafanya jambo la kukuchukiza au kuumiza wananchi wako ukakaa kimya?? Wizara ya mambo ya ndani iko chini ya nani? Ni mhimili mwingine wa serikali?
 
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.

pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)

Inasikitisha sana

Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
Samia must go
 
Sidhani kama hata hayo Maombi yatafika kwa Mungu,
Violation of fundamental Human right (Worship), She was misled by her advisor ,she will lose a lot of Christians votes
 
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.

pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)

Inasikitisha sana

Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
Nani aliyenyimwa ibada ya kuabudu?
 
Wameambiwa wakate rufaa.
 
Hii inafikirisha sana, tungeona hili linamaana kama wangedeal na Gwajima mwenyewe na sio kanisa kwa ujumla wake
Tv imaan na clauz ziliwahi kufungiwa,Kwanini hamkutoa ushauri kuchukuliwa hatua mtu?
 
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.
Very powerful statement.
 
Back
Top Bottom