X factor
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,436
- 2,298
Samia yupo saa 12 jioni kima wewe,hujui kusoma alama za nyakati?Utaondoka wewe sisi bado tunamuitaji.
Samia yupo saa 12 jioni kima wewe,hujui kusoma alama za nyakati?Utaondoka wewe sisi bado tunamuitaji.
kkkt wakafurahia wenzao kufungiwaKwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwa
Right to worship izingatiwe!