Viumbe hatari sana kwenye Bibilia imeandikwa kukaa nap kwa akili sanaDah, ila kweli wanawake wa kuogopwa sometimes
Uwezo wa Samia ni mdogo sana kuzuia haki ya watu kuabudi atatoka siku zake ni chache hawezi KUSHINDANA na MUNGU.Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.
pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)
Inasikitisha sana
Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
Kwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwaKwani rais ndio kufunga kanisa?
Aliyefanya ni wizara ya mambo ya ndani
Utawala bora unamtaka rais kutoingilia wengine
NO REFORMS NO ELECTIONInaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.
pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni mafundisho ya ushetani ya kupinga utekaji, uteswaji na mauaji? (Nimewaza tu)
Inasikitisha sana
Pia soma Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi
100%✅️🤝🤝No reforms no election indeed