X factor JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 1,436 Reaction score 2,298 Jun 7, 2025 #41 Mlimbo48 said: Utaondoka wewe sisi bado tunamuitaji. Click to expand... Samia yupo saa 12 jioni kima wewe,hujui kusoma alama za nyakati?
Mlimbo48 said: Utaondoka wewe sisi bado tunamuitaji. Click to expand... Samia yupo saa 12 jioni kima wewe,hujui kusoma alama za nyakati?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jun 7, 2025 #42 mshale21 said: Kwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwa Click to expand... kkkt wakafurahia wenzao kufungiwa
mshale21 said: Kwamba hela huna na akili ukose kweli? Hujamsikia Rais mwenyewe akisema kwa kejeli kuwa dini ( ya Gwajima) ni ya kishetani na wa KKKT wasivyo na akili wakashangilia. Nakwambia hivi kama sio amri yake basi kanisa la Gwajima lisingefungiwa Click to expand... kkkt wakafurahia wenzao kufungiwa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jun 8, 2025 #43 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Right to worship izingatiwe!