Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Lakini uliacha kazi ukiwa ushajipanga... right?
 
Naomba kujua kama ww Umeajiriwa au Umejiajiri?
 
Mie job naingia jtatu saa5 asubuh, na ijumaa naondoka sa 3 asbh narudi town iliko familia na michepuko yangu.

Tena nina raha sana, na sijawah fokewa na boss mwaka wa 7 sasa.

Kuna wiki nazikata bila kwenda kimwili lakn mahudhurio yapo.
 
sjawahi kuajiriwa hua nashangaa nyie mnaoenda kazini kila wiki mnawezaje
 
KAZI NI NGUMU AU INACHOSHA UKIWA NAYO.
 
Leo ni tarehe 14 - utakuja badilisha Hii kauli karibia na mwisho wa mwezi
 
Mie job naingia jtatu saa5 asubuh, na ijumaa naondoka sa 3 asbh narudi town iliko familia na michepuko yangu.

Tena nina raha sana, na sijawah fokewa na boss mwaka wa 7 sasa.

Kuna wiki nazikata bila kwenda kimwili lakn mahudhurio yapo.
Usipoenda kimwili huwa unaenda kiroho au?....sijaelewa hapa
 
Uko sahihi, kuna watu wanalipwa mishahara Kwa kuzomea wenzao Dodoma. Si Bora wewe umelala wala hujafokea Mtu?
 
Chezea Mshahara usichezee Kazi,

Fanya kazi kama mtumwa uje uishi kama mfalme.

Sasa hapo mswahili alikuwaje sijui
Yaani kachezea mshahara weeee kafanya kazi kama mtumwa
Halafu aje aishi kama Mfalme HOW?

Mbona amechezea sasa hela zote?
Ataishi kama Mfalme Really?
Naelewa maana ya hili ila nimechomekea kuwa [emoji23][emoji23]
 
Endelea tu kutafakari mkuu,ila jua kuwa wanaotafuta hiyo ajira ni wengi kuliko unavyowaza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…