Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

kama hujaelewa mpaka apo endelea na ajira tu, sahau kufanya biashara! kama utakua na hela hazina kazi jaribu kuwekeza hata dar es sakaam stock exchange MTP (onlinetrading.dse.co.tz/guest/login) maaana we na biashara bado mko mbali sana
We ndio uko mbali kuliko mimi mi nilisha toka huko niko km nyingi mbele yako
 
Ila kweli haya maisha kupanga ni kuchagua. Mwengine analipwa kwa kutalii tu na kufanya ma survey ambayo hayana kichwa Wala miguu. Mtu anafanya kazi huku ana enjoy huyu mtu hata akicheleweshewa mshahara kwake sio shida
 

unachukua mkopo unasoma chuo unakuja kulipa mbelen huna uhakika wa ajira shida iko wap mzee? hakuna biashara inaanza na ela za mkononi, usikalie kuskia mtu kasema kaanza na mtaji wa 30k muongo uyo, lazima kakopa ama labda kuna uchangiaji wowote ule ndo biashara ila mara nyingi hua inakua mkopo
 
Duuuh mkuu unaweza kuwa nisehemu ya maafisa mikopo wa benki ila sio Mwana uchumi
 
Kwahiyo unanishauri nikope nifanye biashara sio?
 
Fanya hivi, kanunune hisa kwenye makampuni makubwa, watu wanakuwa wanafanya kazi kwa ajili yenu.

Pia, weka fedha zako kwenye fixed akaunti.

Unakuwa unalala tu hela inaingia

Mana hata ukisema uende kijijini, utalazimika kufanya kazi tu ili ule.
 
Si acha kazi tu ili upunguze hiyo mizunguko? Au jifanye kichaa usieleweke mapito yako.
 
Mimi niliona kazi inanizingua nikiomba ongezeko la mshahara wanaleta sound nikajifanya naumwa nikakaa nyumbani ofisi imejitahidi kunitafuta hadi waliposikia nafanyakazi sehemu nyingine wakaamua kuniandikia barua ya kuterminate mkataba na mikwara kibao, ila nilichojifunza kuna muda mwajiri roho inamuuma ikitokea potential employee amewakacha.
 
kwakweli uzi huu ndiyo umefungua kinywa changu kucheka.
 
Take a break and go on vacation that would make you relax ( you may in future make it a habit and plan accordingly).
 
Hii nayo ni techniques safi sana, lakin ni mbaya kama kazi ni ya kwako
Wanafanya hivo kwenye ofisi za watu tena haswa za serikali, taasisi binafsi wataanzia wapi? Au ofisi yako uamue tu kulala hela ikupite? Hawa wakijiajiri hata jumapili na public holiday hawalali nyumbani
 
Fanya hivi, kanunune hisa kwenye makampuni makubwa, watu wanakuwa wanafanya kazi kwa ajili yenu.

Pia, weka fedha zako kwenye fixed akaunti.

Unakuwa unalala tu hela inaingia

Mana hata ukisema uende kijijini, utalazimika kufanya kazi tu ili ule.
Ili faida ionekane hapo kwenye hisa au fixed account ni lazma uweke mkwanja wa kueleweka
 
Huyo Boss alikuwa ngozi nyeusi?
 
Chezea Mshahara usichezee Kazi.

Fanya kazi kama mtumwa uje uishi kama mfalme.
Ila honestly kuna misemo ni ya kipumbavuuu basi tu tunaitumia tu kwakua ndio vile...
Imagine ufanye kaz kama mtumwa halaf?mtumwa kabisaa mtumwa??
 
Kama umechoka mwanangu acha kazi!
 
Kwahiyo unafanya mishe zako ila ukipata hata mteja hata dogo tu anakuagiza naomba uniaptiea sukari guru nawe unamfatia kwenye kopo unampatia yeye anakupa pesa. Utaagizwa mpaka na vitoto vidogo maana mteja wako ndiyo boss wako 😁😁😁
 
Sasa hapo Kuna ubaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…