Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Kwa sabau umesema ni kwa leo tu, sioni kama ni tatizo Ina maana walikuwa na udhuru maalum.
Kwani kwa jirani yako kukiwa na udhuru wa kufanya wapige kwaya kwa sauti usiku mzima kwa siku hiyo; mbona inaeleweka? Tusikuze mambo ya kuleta mtafaruku bila sababu!
 
Hapana mleta mada yuko sahihi kwanini msitumie saa kama hoja ya sala zenu ni muda? Mnazingua sana truly dini la mnyazi liko kiholela sana.
 
Acha uropokaji,
Tanzania ingekuwa nchi ya Kiislamu malalamiko ya unaoitwa mfumo Kristo ungeyasikia ??
 
Si bora waislamu kwa mwaka mara moja ila wakristo wao ni 24/7 wanasema wanakemea mapepo.
 
Acha uropokaji,
Tanzania ingekuwa nchi ya Kiislamu malalamiko ya unaoitwa mfumo Kristo ungeyasikia ??
Si kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.
Tanzania ni nchi ya kiislamu ndio maana tunafanya tunavyopenda kwa mujibu wa dini yetu tena kwa uhuru wala hakuna anayetusumbua.
 
Teknolojia imekuwa kwa sasa wazee wa kanzu na barakashia tumieni alarm za kwenye simu zenu.
Hata mimi nashauri hivyo, kama wezee wa vinini na mpasuo, wanavyotumia teknolojia Spike kubwa za mziki, kwenye makanisa.
 
Mtapambana sana lkn hamtoshinda, walikuweko, mpo na watakuwepo km wewe lakini imani inaendelea. Pambania roho yako mana hata hapo uliposimama Inawezekana sipo penyewe. Uwe na jumapili njema.

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Acha ujinga wewe, kila siku RC anajidhihirisha kuwa ni shetani kabisa aliyejificha kupitia hiyo dini.

Miaka ya 2020 Papa alidai kuwa "BIBLIA imepitwa na wakati inabidi ibadilishwe baadhi ya vifungu ili iendane na dunia ya sasa"

MASWALI:

1. Je Mungu ni mwongo hadi Papa akaidi agizo lake Mungu[emoji848][emoji116]

MATHAYO 24:35.
YOHANA 17:17.

2. Papa ana ukuu upi mbele za BWANA hadi apunguze na kuongeza (editing) neno lake Mungu [emoji848][emoji116]

UFUNUO WA YOHANA 22:18-19.

3. Yesu hakubadili NENO LA MUNGU "BIBLIA", Papa ni nani haswa kwa BWANA hadi atengue BIBLIA[emoji848][emoji116]

MATHAYO 5:17.

4. MUNGU habadiliki kamwe, Papa anamshuhudia vipi Mungu kuwa ni Kigeugeu [emoji848][emoji116]

WAEBRANIA 13:8.
MALAKI 3:6.

5. Wapi ktk BIBLIA Mungu kaagiza Papa aje kubadili hivyo vifungu vya BIBLIA?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wafia dini watasema mbona kelele za Bar hamlalamikii!
Mfia dini mmoja wapo, ni mimi mbona wananchi wa ukonga, tabata hawalalamikii kelele za ndege zinaruka. ila kelele za bar, ni kelele za kishetani, wanao ana ni kelele ni wacha Mungu tu.
 
Kama kweli kuna ongezeko, la misikiti na makanisa, Inaonyesha watu wanamhitaji Mungu zaidi, wenda mbeleni hata panya road, wakapungua.
 
Wewe una chuki sana na uislamu na hili haliupunguzii uislamu chochote, wewe dini yao wanaelewa wewe yanakuuma nini?.

Ndio zenu kila mkitajiwa hayo maujinga yenu mnakazania "chuki", matendo yenu ndio chukizo, mnakera kishenzi yaani, mara mlazimishe watu, mara mkate watu vichwa, mara mpigishie watu makelele ya kiarabu....mumejawa na vituko tangu enzi zile za huyo mwarabu wenu aliyekua anagegeda katoto ka miaka 9.
 
Kufanya sherehe kwenye nyumba zao, siyo siku hizi, kufanyia kwenye kumbi ndiyo usasa, wewe kabla hujazaliwa watu sherehe wanafanyia majumbani.
 
Kwahiyo tupambanishe Night club, na majengo ya ibada.
 
Kwa sababu ndege ni huduma muhimu ya msingi kwa watu WOTE. Ndege zinatumika kusafirusha madaktari bingwa kwa haraka kwenda kutibu ndugu zao huko mikoani na kuwaleta Muhimbili.
Kwa sababu uwanja wa ndege ni eneo la kiusalama pia hivyo huwa unawekwa kimkakati.
Kwa sababu pia uwanja wa ndege unatumika hadi na matapeli wa kidini kusambaza porojo zao.
Mfia dini mmoja wapo, ni mimi mbona wananchi wa ukonga, tabata hawalalamikii kelele za ndege zinaruka. ila kelele za bar, ni kelele za kishetani, wanao ana ni kelele ni wacha Mungu tu.
 
Kwa usiku mmoja tu , acha kulalamika mbona kwa jirani yako kukiwa na kigodoro usiku mzima haulalamiki?
 
Hata wewe utapita lkn kanisa litasimama mpka mwisho. Jumapili njema

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…