Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sabau umesema ni kwa leo tu, sioni kama ni tatizo Ina maana walikuwa na udhuru maalum.Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Nchi ikiwa ya kiislamu zile alama za uislamu kama wingi wa miskiti, adhana n.k zinakuwa wazi tu na ruksa.Sasa nchi ikiwa ya kiislam ndiyo nini?
Mabudha hawapendi hata kwa hizo dakika 2Kengele inapigwa kwa muda gani?
Hapana mleta mada yuko sahihi kwanini msitumie saa kama hoja ya sala zenu ni muda? Mnazingua sana truly dini la mnyazi liko kiholela sana.Not correct wao kuwa na maombi yao kwa sauti si vibaya wanazingatia uhuru wa kuabudu na kutangaza dini yao ama wewe unae wasema wanaibada wenye kukesha kuabudu mola wao (bila kujaji Mungu wa nani ndio sahihi) basi ni kutokana na chuki zako juu ya dini na kuto penda kuabudu na umeridhika kuona akili yako ni sufficientmada sahihi
Acha uropokaji,Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.
Ila nchi za kiislamu kama tanzania adhana ni popote tu mpaka raha, alhamdulillah kwa neema hii.
Na mimi nimekupa Like kwa kumpa Like ndugu yangu.Leo nimekupa 'Like' kwa mala ya kwanza.
Si kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.Acha uropokaji,
Tanzania ingekuwa nchi ya Kiislamu malalamiko ya unaoitwa mfumo Kristo ungeyasikia ??
Hata mimi nashauri hivyo, kama wezee wa vinini na mpasuo, wanavyotumia teknolojia Spike kubwa za mziki, kwenye makanisa.Teknolojia imekuwa kwa sasa wazee wa kanzu na barakashia tumieni alarm za kwenye simu zenu.
Acha ujinga wewe, kila siku RC anajidhihirisha kuwa ni shetani kabisa aliyejificha kupitia hiyo dini.Mtapambana sana lkn hamtoshinda, walikuweko, mpo na watakuwepo km wewe lakini imani inaendelea. Pambania roho yako mana hata hapo uliposimama Inawezekana sipo penyewe. Uwe na jumapili njema.
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Mfia dini mmoja wapo, ni mimi mbona wananchi wa ukonga, tabata hawalalamikii kelele za ndege zinaruka. ila kelele za bar, ni kelele za kishetani, wanao ana ni kelele ni wacha Mungu tu.Wafia dini watasema mbona kelele za Bar hamlalamikii!
Sawa, na wa makanisa wanaoabudu usiku kucha watumie nini?Teknolojia imekuwa kwa sasa wazee wa kanzu na barakashia tumieni alarm za kwenye simu zenu.
Kama kweli kuna ongezeko, la misikiti na makanisa, Inaonyesha watu wanamhitaji Mungu zaidi, wenda mbeleni hata panya road, wakapungua.Unawaza upande mmoja.
Kwani hujawahi kuona baada ya kumaliza nyumba yako na kuishi jirani anauza eneo lake na panajengwa Msikiti au Kanisa na makelele yanaanza mtindo mmoja. Spika nzito zinafungwa na mawaidha yanaendelea kila siku usiku na mchana kwaya zinapigwa kwa nguvu.
Ujenzi holela unachangia sana haya mambo. Panatakiwa kutengwa maeneo maalum ya Ibada.
Ila hivi Vikanisa na Vimisikiti vinavyo chipua kila kukicha vinasumbua sana staha ya watu wanao hitaji utulivu.
Hasa hivi vinyumba vya dini vya watu binafsi.
Wewe una chuki sana na uislamu na hili haliupunguzii uislamu chochote, wewe dini yao wanaelewa wewe yanakuuma nini?.
Kufanya sherehe kwenye nyumba zao, siyo siku hizi, kufanyia kwenye kumbi ndiyo usasa, wewe kabla hujazaliwa watu sherehe wanafanyia majumbani.Asante japo nimeona baadhi ya watu wanaichukulia kama chuki wakati si kweli imagine inapigwa adhana kuita watu wakishafika bado spika zinaachwa on tunasikia yanayoendelea nadhani si sawa
Asante ukiachana na mimi niliekosa usingizi fikiria kuhusu wagonjwa walioko majumbani na siku hizi kuna tabia ya watu kufanya sherehe kwenye nyumba zao basi siku hiyo mtakesha na mziki hakika hii si sawa lazima ukweli usemwe
Kwahiyo tupambanishe Night club, na majengo ya ibada.Uvumilivu uendane na ustaarabu! Hakuna sababu ya msingi ya kuweka vipaza sauti/spika kubwa kwenye nyumba za ibada na kuwabughudhi wengine nyakati za usiku.
Mbona zile kumbi za starehe za kukesha (night clubs) zunapewa masharti ya kuweka sound proof!! Sasa kwa nini nyumba za ibada ziachwe huru kuwapigia watu makele nyakati za usiku?
Mfia dini mmoja wapo, ni mimi mbona wananchi wa ukonga, tabata hawalalamikii kelele za ndege zinaruka. ila kelele za bar, ni kelele za kishetani, wanao ana ni kelele ni wacha Mungu tu.
Kwa usiku mmoja tu , acha kulalamika mbona kwa jirani yako kukiwa na kigodoro usiku mzima haulalamiki?Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Hata wewe utapita lkn kanisa litasimama mpka mwisho. Jumapili njemaAcha ujinga wewe, kila siku RC anajidhihirisha kuwa ni shetani kabisa aliyejificha kupitia hiyo dini.
Miaka ya 2020 Papa alidai kuwa "BIBLIA imepitwa na wakati inabidi ibadilishwe baadhi ya vifungu ili iendane na dunia ya sasa"
MASWALI:
1. Je Mungu ni mwongo hadi Papa akaidi agizo lake Mungu[emoji848][emoji116]
MATHAYO 24:35.
YOHANA 17:17.
2. Papa ana ukuu upi mbele za BWANA hadi apunguze na kuongeza (editing) lake Mungu [emoji848][emoji116]
UFUNUO WA YOHANA 22:18-19.
3. Yesu hakubadili NENO LA MUNGU "BIBLIA", Papa ni nani haswa kwa BWANA hadi atengue BIBLIA[emoji848][emoji116]
MATHAYO 5:17.
4. MUNGU habadiliki kamwe, Papa anamshuhudia vipi Mungu kuwa ni Kigeugeu [emoji848][emoji116]
WAEBRANIA 13:8.
MALAKI 3:6.
5. Wapi ktk BIBLIA Mungu kaagiza Papa aje kubadili hivyo vifungu vya BIBLIA?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app