Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Ndio hizo goli 3 tunaojua mpira ni ndani ya dakika 90 unaelewa mpira wewe au unachezaga lede na dada zako?
 
Kameunguzwa saafi saana
 
usinilinganishe na uyo mhuni mkuu
 
Una bahati kenge wewe!!
 
Naona kama umepigwa ban. Hata kama ulituombea mabaya, lakini naamini kama umepigwa ban kwa hoja hii, basi mods wamekuonea. Wewe ulisema Simba AKIFUNGA MAGOLI MATATU upigwe ban miaka mitatu. Sasa sisi Simba tumefunga MAGOLI MAWILI. Kwanini umepigwa ban?
Mods mfungulieni. Hamjamtendea haki!!!
 
Nimesema goli 3

Yaan namaanisha 3-0 au 4-0 au 5-0 hapo nipigwe ban ikiwa 3-1 hapo Simba hajashinda 3 ameshinda 2 maana amefungwa 1 na hapo aggregate itasoma 3-3 na wale watakua na advantage ya goli 1 la ugenini kwa hio watapita wao
Kwakweli mods wamekuonea kama umepigwa ban! Mrudisheni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…