Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

Asante sana. Kaa korokoroni. Kila mtu apate stahiki alichoomba
 
Shenzi utoto mwingi
Mchawi mkubwa
Pumzika hukoo
Kuna Mungu afu Kuna wanga kama nyie
 
Mtoto kauta kautaka.
 
Alisema goli 3 sasa mpaka sasa sijaona goli 3
Unakuja kujitetea kwa IDs nyingine? Soma hapa.

iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.

Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku kuendeleza ubabe Simba anakufa tena na hapati hata goli 1.

Mods Simba akimfunga Al Masry goli 3 basi naomba nifungiwe kuitumia JF miaka mitatu yaani nipigwe ban miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…