ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 358
- 575
KATUGA vs HECHE
Hapo ndio kuna battle sasa π
Haki ni relative. Kwako haki kwangu haramu.Yani unafurahia mtu anayetetea Haki za watanzania kuona akihukumiwa kifo...!
Lissu akinyongwa au akifa unapata faida ganiHaki ni relative. Kwako haki kwangu haramu
Hata hao wamawakili wakimkataa wao haitosaidia,watanzania wengi Sana wapo nyuma Yao,CHADEMA ndo imeshakuwa ya watanzania na hawapo tayari chama kiwe tena chama cha Watu wachacheKuna jamaa wanatamani sana HECHE apigwe KNOCK-OUT ila haitotokea KATUGA ana chuki BINAFSI na TONE TONE hatuoni akienda kwenye UHAINI kingine KASKAZINI wengi hawamtaki LISSU na HECHE.
Lakn katunga alisema magari ya bei mbaya..Ndio. Unaonekana muongo.
Hili lipo wazi mkuu.Hata hao wamawakili wakimkataa wao haitosaidia,watanzania wengi Sana wapo nyuma Yao,CHADEMA ndo imeshakuwa ya watanzania na hawapo tayari chama kiwe tena chama cha Watu wachache
Nitakuwa muongo kwenye hizo taarifa tu nilizoongopaNdio. Unaonekana muongo.
Nitakuwa muongo kwenye hizo taarifa tu nilizoongopa
Au ushahidi mzima ntaonekana kama shahidi wa uongo?
Lakn katunga alisema magari ya bei mbaya..
Heche amejibu kutokana na specifications za swali.
Asiponyongwa utapata faida gani?Lissu akinyongwa au akifa unapata faida gani
Kwa hiyo mkuu ...ku play hiyo video ndio ushahidi?Leo Heche wamemkamata.
Katuga kashamlegeza hapo sijui kama Heche anaujanja tena.
Ukishamtoa mtu uaminifu, na kumfichua mafichoni kwa kumvua nguo. Kinachofuata ni kujipigia.
Hizo logic for only binary logic (Electronics, Logic Mathematics and Logic gate) But does not apply in lawsKwenye Kanuni za Logic
Kweli + Uongo = Ni uongo.
Kweli + Kweli = Kweli
Uongo + uongo = Kweli.
Katugwa anachofanya ni kuondoa imani ya mahakama kwa Shahidi
Kwa hiyo mkuu ...ku play hiyo video ndio ushahidi?
Ndio maana akasema ni AI...
Pia hiyo video haiko Mahakamani kama ushahidi...hata hizo documents za magari, sijui miamala ya benki havipo Mahakamani kama ushahidi..
Yaani Majaji wanasikiliza ngonjera.. ni maneno tuu
Kwa hiyo ukiwa unafurahi sijui video imeonyeshwa kwenye laptop.. kumbuka taratibu za kimahakama zinataka ...video ianzie kule chini Kisutu...
Kuwe na ripoti ya forensic kudhibitisha sio feki.... Nakupa mwanga ili ujue kinachoendelea
Sasa wewe na vichogo wenzio mnadhani hata akinyongwa hawatapatikana Watu Wa kuikosoa serikali,Yani unajidanganya kama unachuki binafsi imekula kwako na haitotokea huyo Jamaa akanyongwa utasubiri sana,na ukae ukijua kuna fail lenu mahakama ya dunia kuhusu mauaji ya halaikiAsiponyongwa utapata faida gani?
Kabisa vidole viwili mpaka kesi iishe watakua compromised sana kwa wafuasi waoKesi inazalisha mambo kibao nje ya uhaini. Na mambo hayo ndo wanayoyataka CCM kuliko ht hilo la uhaini kama hamjui
Hizo hisia zako. Kunyongwa ni sehemu ya haki kisheriaSasa wewe na vichogo wenzio mnadhani hata akinyongwa hawatapatikana Watu Wa kuikosoa serikali,Yani unajidanganya kama unachuki binafsi imekula kwako na haitotokea huyo Jamaa akanyongwa utasubiri sana,na ukae ukijua kuna fail lenu mahakama ya dunia kuhusu mauaji ya halaiki
Mimi mwenyewe binafsi kuna mambo huwa siyakubali sijapata tu platform ya kuyasema. Uonevu na uhalifu ni mwingi sana serikaliniSasa wewe na vichogo wenzio mnadhani hata akinyongwa hawatapatikana Watu Wa kuikosoa serikali,Yani unajidanganya kama unachuki binafsi imekula kwako na haitotokea huyo Jamaa akanyongwa utasubiri sana,na ukae ukijua kuna fail lenu mahakama ya dunia kuhusu mauaji ya halaiki