Katuga anachofanya kitaalamu kinaitwa "Damage Control" mpaka umeona amekuja na documents za personal information za John Heche unajua ile ijumaa madudu mengi yaliibuliwa ya Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola so anachokifanya katuga kutengeneza ionekane John Heche ni mchafu hastahili kuaminika na Chadema ili mzani uwe sawa But kwa mtu mwenye akili vizuri na wanachama wa Chadema hawatakiwi kuamini hichi anachofanya Katuga Heche amekuwa mbunge kwa muda unajua mbunge anapokea mshahara million 12 nje na marupurupu na ukimaliza muda wa miaka yako mitano bungeni unapewa million 300 hivi Heche anakuaje masikini? Kwa hela anazovuna anashindwaje kuwa na biashara nyingi? Ukishakuwa mbunge hela lazima uwe nazo.Lipi?
Toka jana uko na Heche eti atoe ufafanuzi wa tuhuma gani sijui, Kiongozi atatoa ufafanuzi wa kila kitu kinachoendelea kwenye socials na sio kwenye vikao vya chama?
Mahaba yanakufanya uwe mpumbavuKatuga anachofanya kitaalamu kinaitwa "Damage Control" mpaka umeona amekuja na documents za personal information za John Heche unajua ile ijumaa madudu mengi yaliibuliwa ya Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola so anachokifanya katuga kutengeneza ionekane John Heche ni mchafu hasitahili kuaminika na Chadema ili mzani uwe sawa But kwa mtu mwenye akili vizuri na wanachama wa Chadema hutakiwi kuamini hichi anachofanya Katuga Heche amekuwa mbunge kwa muda unajua mbunge anapokea mshahara million 12 nje na marupurupu na ukimaliza muda wa miaka yako mitano bungeni unapewa million 300 hivi Heche anakuaje masikini? Kwa hela anazovuna anashindwaje kuwa na biashara nyingi? Ukishakuwa mbunge hela lazima uwe nazo.
Mahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.Kwa hiyo mkuu ...ku play hiyo video ndio ushahidi?
Ndio maana akasema ni AI...
Pia hiyo video haiko Mahakamani kama ushahidi...hata hizo documents za magari, sijui miamala ya benki havipo Mahakamani kama ushahidi..
Yaani Majaji wanasikiliza ngonjera.. ni maneno tuu
Kwa hiyo ukiwa unafurahi sijui video imeonyeshwa kwenye laptop.. kumbuka taratibu za kimahakama zinataka ...video ianzie kule chini Kisutu...
Kuwe na ripoti ya forensic kudhibitisha sio feki.... Nakupa mwanga ili ujue kinachoendelea
Afadhali hao kuliko wanaoteka kuua ma kumwaga damu za ndugu zetu wasiokuwa na hatia ili kulazimisha kukubalika.Kwenye hizi cross examination ndio unagundua Chadema hakuna viongozi wa siasa bali wababaishaji tu.
Huyo jamaa hana akili.Shida ya Katuga analeta mambo ya mtaani, umbea na unafki.
Maswala ya mwanafamilia kuumwa na michango imahusu Nini mahakamani?
Pesa za tone tone zinakujaje kwenye USHAHIDI???
Umiliki wa Mali binafsi unahusikaje hapo???
Nilichojifunza ni kama mawakili wa serikali wanatumia hiyo nafasi kuwa credibility ya HECHE, Yaani ni kama wanataka kumchomganisha na watu.
Kuna re examination tusubiri...Mkuu hizo video hazipo mahakamani lakini zimetumiwa kupima credibility ya shahidi.
Hiyo miamala haipo mahakamani lakini Katuga kaitumia na Heche kajichanganya kasema anamfahamu huyo jamaa aliyesema hamjui.
Kuhusu Kadi za Magari.
Katuga kazileta hizo kumshinikiza shahidi aseme ukweli kuhusu umiliki wa magari yake. Kama alisema anamawili au matatu alafu katuga ameleta kadi tano za gari. Na Heche akathibitisha ni gari zake huoni kama Heche ushahidi wake unapunguzwa uzito?
Kuliko ulivyo wewe mbururaMahaba yanakufanya uwe mpumbavu
💯Katuga anachofanya kitaalamu kinaitwa "Damage Control" mpaka umeona amekuja na documents za personal information za John Heche unajua ile ijumaa madudu mengi yaliibuliwa ya Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola so anachokifanya katuga kutengeneza ionekane John Heche ni mchafu hastahili kuaminika na Chadema ili mzani uwe sawa But kwa mtu mwenye akili vizuri na wanachama wa Chadema hawatakiwi kuamini hichi anachofanya Katuga Heche amekuwa mbunge kwa muda unajua mbunge anapokea mshahara million 12 nje na marupurupu na ukimaliza muda wa miaka yako mitano bungeni unapewa million 300 hivi Heche anakuaje masikini? Kwa hela anazovuna anashindwaje kuwa na biashara nyingi? Ukishakuwa mbunge hela lazima uwe nazo.
Manyanza
KabisaBasi kesi ya msingi Haina maana
Mpk siri zako zinakuwa nje njeKabisa vidole viwili mpaka kesi iishe watakua compromised sana kwa wafuasi wao
Aisee kweli mahakamani sio pakwenda unawekwa kwenye kona vbaya mno
Uzuri kila mtu anajua unakazwaKuliko ulivyo wewe mburura
Mkuu Mimi sibishi... Nazungumzia factMahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.
Anachosema hapo jamaa ni kwamba Heche kwenye upande wa Logic keshawekwa kwenye kona. Na kila swali linaloulizwa lina umuhimu wake wewe usifikiri hayo maswali hayana maana hata kama yanaonekana ya kitoto.
Heche anaonesha hali halisi ya viongozi wa Chadema na wafuasi wao kwamba huwa wanafikiri kitu kikisemwa na Taasisi ya Kimataifa, au mtu maarufu au chombo cha habari maarufu basi wanaweza kukitumia bila kujiridhisha.
Wafuasi wa Chadema tumieni hii kesi kujifunza namna mahakama zinavyofanya na siyo kutumia mihemko na maneno ya kutiana moyo. Kuna mwanamke huko marekaji kesi yake imeshindwa kuamriwa pamoja na kwamba aliaua watoto wake watatu.
Wafuasi wa Chadema na Watanzania tutumie hizi kesi kujifunza. Itatusaidia kutofanya vitu kwa mihemko kwani mahakamani au kwenye kudai haki hakuna mihemko
Yes, that's why nikasema ni afadhali Heche ajitoeShida ya Katuga analeta mambo ya mtaani, umbea na unafki.
Maswala ya mwanafamilia kuumwa na michango imahusu Nini mahakamani?
Pesa za tone tone zinakujaje kwenye USHAHIDI???
Umiliki wa Mali binafsi unahusikaje hapo???
Nilichojifunza ni kama mawakili wa serikali wanatumia hiyo nafasi kuwa credibility ya HECHE, Yaani ni kama wanataka kumchomganisha na watu.
EhLakn katunga alisema magari ya bei mbaya..
Heche amejibu kutokana na specifications za swali.
Kima unachofanya usifikiri Wabantu tunaweza kufanya.Uzuri kila mtu anajua unakazwa
Unajua mpaka saivi hawa mawakili wa serikali nawaona wajinga Sana vile vifo siku ya uchaguzi wao wanaona ni kawaida eeh mbona hajawajibishwa mtu yeyote kuhusu vile vifo au ndio Lissu ndio kauwa Watanzania siku ya uchaguzi na alikua gerezani😂😂
Asante kwa kukubali kuwa unakazwaKima unachofanya usifikiri Wabantu tunaweza kufanya.
Na angekuwa na maisha magumu kama wanavyotaka wao angekuwa kashaiuza CHADEMA ili kulinda tumbo lake cc wenyewe hatutaki Heche awe masikini ni bola tuwe tunamchangia kila mwezi ili kukizi maitaji yake..Katuga anachofanya kitaalamu kinaitwa "Damage Control" mpaka umeona amekuja na documents za personal information za John Heche unajua ile ijumaa madudu mengi yaliibuliwa ya Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola so anachokifanya katuga kutengeneza ionekane John Heche ni mchafu hastahili kuaminika na Chadema ili mzani uwe sawa But kwa mtu mwenye akili vizuri na wanachama wa Chadema hawatakiwi kuamini hichi anachofanya Katuga Heche amekuwa mbunge kwa muda unajua mbunge anapokea mshahara million 12 nje na marupurupu na ukimaliza muda wa miaka yako mitano bungeni unapewa million 300 hivi Heche anakuaje masikini? Kwa hela anazovuna anashindwaje kuwa na biashara nyingi? Ukishakuwa mbunge hela lazima uwe nazo.
Manyanza
Amesema crown sio gari ya bei mbaya 😁Eh
Ova