Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Miongo yangu 6 ya kuwa hapa duniani siwezi kuhangaika na kujua "lkn" ni nini, au "ukuelewa" unamaanisha nini, ila uandishi wa hivi ndio ulinikimbiza Facebook miaka 13 iliyopita, sikutegemea kuwa nitaukuta huku tena!
 
Kuna watu ni vilaza balaa humu.
Huyo haelewi tofauti ya kujitetea mwenyewe na kuwa na mawakili.
 
Kwenye Kanuni za Logic
Kweli + Uongo = Ni uongo.
Kweli + Kweli = Kweli
Uongo + uongo = Kweli.

Katugwa anachofanya ni kuondoa imani ya mahakama kwa Shahidi
Wewe naye ujuaji unakuzidi...hata kwa akili ya kuvuka barabara uongo na uongo hauwezi kuwa hata chembe ya kweli achilia kweli yenyewe.
Usikariri kila ulichofunzwa shule ,hata jinai ipindishwe vipi haiwezi kuwa haki.
 
Mimi binafsi nimejifunza taaluma ya sheria nayo ni ubatili tu maana muuaji anaweza kutetewa na akashinda ilihali alistahili hukumu tofauti.
Kwa mtu mwenye utu pengine si kazi ya kufanya kama kujihusisha na siasa.
Kuna mambo wanaongea mawakili na wanasheria hadi unabaki kushangaa,ni kipato kinadrive yote haya ama ni kitu gani 💔
 
..masuala ya uenguaji wa wagombea wa Chadema wakati wa uchaguzi yanajenga msingi wa kauli mbiu na msimamo wa Chadema wa " hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi. "
Mkuu hao ni vcccccm huwa hawatumiii akili sasa mtu mwenye akili timamu hivi angeshangaa hilo?
 
Ndo maana nikasema kesi ni Logic na ushahidi. Logic ni moja ya topic kwa wanaosoma Advanced Mathematics na Falsafa. Unashangaa kwa sababu inaonekana hujasoma sheria, Advanced Mathematics wala Falsafa. Tumia huu muda kujifunza.
 

Hizo ndoto mzee
Jibu swali
 
Nilichokisema mm ni mawakili kwenye uendeshaji wa hii kesi..najua amekataa mawakili wake wasijiingize kwenye hii kesi ila unapotaka kuwaingiza mawakili wakati yeye amewaambia atajitetea mwenyewe ndipo nakuuliza Lisu kwenye hii kesi anao mawakili anaowatumia kwenye utetezi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…