Hapo nimekuelewa.Nilikuwa Apple store weekend iliyopita naona kwenye iPad kuna storage mpaka 2 TB tayari.
Ila mimi nina kama microSD cards 100 hivi zina data tofauti na wakati wowote naweza kuihitaji yoyote, kuweza kutunia microSD card muhimu sana.
Kwenye design air itakuwa simu pendwa.Summary ya specs:
View attachment 3468635
Sidhani kama watakimbilia kwenye 2TB mapema maana wanataka baadae watulipishe kwenye cloud storage kwa lazima.Hapo hauwezi, sema kama wanapush eSIM-only models sokoni maana yake hawawezi kutaka kurudi nyuma. SIM card tray itaondolewa tu nayo labda kwa masoko yenye policy za kitata , hapa naona wataongeza internal storage mpaka 2TB au wataleta memory stick
Yeah uko sahihi kabisaSidhani kama watakimbilia kwenye 2TB mapema maana wanataka baadae watulipishe kwenye cloud storage kwa lazima.
Wanataka wapate kwenye hardware na software pia. Kama ambavyo walikuwa wanaipunguza Spotify nguvu ila watumiaji walazimike kwenda Apple Music mpaka pale Spotify ilipofungua kesi mahakama ya Ulaya wakapigwa faini.
Battery ndogo 2,900 ni upuuzi hata uwe na power utilization nzuri kiasi gani.Kwenye design air itakuwa simu pendwa.
Japo specs pro models wamejitahidi kupandisha standard za industry.
Washamba na wasio na hela ndio hukimbilia kusema hivyo. Au wale ambao iPhones zimewashinda kama mimi nimeachana nayo iOS siielewi alafu mambo yangu mengi yako kwenye Android hata JF nikiwa na iPhone siitumii.Sawa, swali hao wanaomiliki hizo Samsung nao wanaumiza sehemu za miili yao?
Maana hakuna utofauti wa gharama lakini nashangaa watumiaji wa iPhone kuambiwa wanaumizwa.!!
😅😅 Hii nchi we acha tu!Hivi kwanini huwa mnawazaga watu wanaomiliki iPhone wanaumia..!!
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kununua simu mwenyewe bila ya hiyo dhana yenu??
Tunanunua magari tushindwe kitu km iPhone seriously??
Alafu wameipa A19 Pro wanautana sana wakati standard iPhone 17 ina A19 😂, nahisi katika mbinu za kujustify pricingBattery ndogo 2,900 ni upuuzi hata uwe na power utilization nzuri kiasi gani.
Apple ndio walioanzisha huu ujinga.Ukiachana na Sony, hakuna brand kubwa ya smartphones yenye flagships zenye microSD card slot kwa sasa. Na ni wachache wenye midranges zenye nayo.
Sio Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Google, Honor, OnePlus, Vivo wala Nothing.
Na pia ndio waliendekeza ujinga wa kuondoa charger kwenye package zao. Na walianzisha kuondoa 3.5mm earphone jack ili wauze Airpods.Apple ndio walioanzisha huu ujinga.
Hii nahisi ni karibia kila flagship hazina SD Card Slot except SonyBado Apple products hazi support microSD cards?
Simu za Apple huwa zinatunza chaji na battery zao ndogo hivyohivyoHapa tayari wameshafeli
Lazima A19 Pro itakuwa na utilization nzuri lakini nina wasiwasi kutokana na screen ni kubwa kuliko ya 17 bado itaisha chaji mapema. Ngoja nisubirie benchmarks.Alafu wameipa A19 Pro wanautana sana wakati standard iPhone 17 ina A19 😂, nahisi katika mbinu za kujustify pricing
Nilishuhudia wadada kibao wakiitema Pro (12,13&14Pros) na wakichukua iPhone 16 kwa sababu ya muonekano wa camera na rangi zake.Kwenye design air itakuwa simu pendwa.
Japo specs pro models wamejitahidi kupandisha standard za industry.
Mwenyewe nasubiria hiyo kitu.Lazima A19 Pro itakuwa na utilization nzuri lakini nina wasiwasi kutokana na screen ni kubwa kuliko ya 17 bado itaisha chaji mapema. Ngoja nisubirie benchmarks.
Apple wanapiga mtonyo kwemye product na servicesWatumiaji 80% wa bidhaa za apple wanatumia Primary product ambayo ni simu pekee.
Angalia takwimu za mauzo,utakuta mfano simu ni milioni 35,computer milioni 3,ipad,milioni 3,saa za mkononi milioni 5,ipods milioni 4.hii ni dalili kwamba kinachowaweka wateja ni kingine sio muongiliano wa bidhaa zao.
Zingatia pia wapo watumiaji wa hizo bidhaa nyingine haitaki iphone kabisa,mtu ana computer tu ila simu anatumia kampuni nyingine.so wanaotumia ecosystem ya apple angarau kwa bidhaa 3 ni % chache sana.
Sio kwa 2,800mAhSimu za Apple huwa zinatunza chaji na battery zao ndogo hivyohivyo