Leo tule catress na juice

Leo tule catress na juice

Hivyo ndo wanaume wengi tunavyojisikia tukiwaona wanawake mnaenda kazini.

Hatuna namna, dunia inakimbia.
Mimi mwenyewe pro, hata shemeji yako ajue kupika vipi siwezi kuwa na stress maana hawezi kunizidi katu!
Wanaaogopa ni wasiojua kupika.

Wewe bado mdogo, subiri ukue ndio utajua umuhimu wa mwanamke kufanya kazi mdogo wangu.
 
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home

Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu

View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress

View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda

View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu

View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta

View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo

View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni

View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi

View attachment 3218758
Sawa Half american
Ebooo...

Sasa si uje unipikie hizo catress weekend kisha tuchafue matress
 
Nime

imagine hiyo nyama, na hivyo viazi plus viungo ningetoa roast la nyama na ugali fasta plus Heineken mbili za baridii......

Hivyo vitu sijawahi vielewa, sjui pizza burger.....

Ila mwamba Mwachiluwi hongera aseeh 👊
BRAZA CHOGO umepotelea wapi we mzee wa kike!

SECRETARY BIRD
Poor Brain
zerominus10
Mimi hivi vitu hapana siviwezi..
Mi napenda ugali na dagaa rost
Mi napenda wali nazi na marage nazi
Mi napenda wali nazi na samaki nazi
Mi napenda mashangazi
Napenda kashangazi

Napenda wale wadada wenye makalio makubwa
 
Mimi hivi vitu hapana siviwezi..
Mi napenda ugali na dagaa rost
Mi napenda wali nazi na marage nazi
Mi napenda wali nazi na samaki nazi
Mi napenda mashangazi
Napenda kashangazi

Napenda wale wadada wenye makalio makubwa
Hayo masotojo ndo yenyewe
 
Na maziwa mgando umesahau
Bora waniuwe ila sio kunywa hayo madude.
Sitowahi na sitajaribu maisha yangu yote kunywa huo mtindi

Sipendi maziwa mgando
Sipendi maziwa mtindi
Sipendi maziwa yaliyooza

Mkuu labda umenifananisha na huyu jamaa ERoni huyu ndo yupo radhi kugombana na watu humu kisa tuu kazungumzia maziwa vibaya.
 
Back
Top Bottom