Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda
View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu
View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta
View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo
View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni
View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi
View attachment 3218758
Sawa
Half american