Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

R.I.P Mzee Swai. Naamini tutaonana katika Pambazuko lile katika kusanyiko la karamu ile ya Harusi ya Mwanakondoo. Ulinifanya niwe Mwanaume na kunijenga Imara.

R.I.P rafiki yangu olimaalbert tutaonana kwenye kutaniko lile kuu la Bwana Yesu. Ulinijenga na kuijenga imani yangu.

R.I.P Patel Mjomba wangu. One day Yesu, ulinifundisha miiko na principle za wanaume wa kimachame.
 
Njoo tuungane hapa mkuu me nshakuelewa maana nikama tuko kundi moja wazaz wapo kama hawapo yani
Kabsa Ndugu yang yani acha Tu, Hii Dunia kuna watu hawakustahili kuitwa Wazazi, maan hakun kitu kinaumiza kam Wazazi kukufanyia vtu ambvyo hta Watu wasiokujua hawawez kkufanyia,

Tena sio kwamb Wameanz kkufanyia ukubwani hapan yani ni tangu mdogo umekuw ukipitia uchungu kwasabb Yao.
 
Me namuombea tu babu apumzike salama bibi Mungu ampe maisha marefu
 
😔Mungu awapiganie jaman mwee
 
R.I.P Baba Merchante, Mzee kokote uliko tambua kwamba uliacha mpambanaji haswaa, Kwasababu licha ya kukosa malezi yako kabisa katika maisha yangu,bado sikupata hayo malezi kutoka upande wa pili.

Mzee naamini unatambua kwamba,sina kikubwa ila sijawahi kukata tamaa licha ya mapito yalotaka kuchukua uhai wangu.


Mtaa umenilea,mtaa umenifunza nimheshimu hata mtoto mdogo,kichaa bila kusahau walemavu bila kusahau kuwajali hata katika mia yangu wao wapate japo hamsini.

Mungu akinijalia nitafungua kituo cha watoto yatima siku za mbeleni,tulikopita sio poa.

R.I.P SOLDIER[emoji109]
 
Daaa!😭😭😭
R.I.P Baba
 
Ubarikiwe To yeye siku ya leo ndio alifariki baba yangu mzazi miaka minne iliyopita ; we do share the same history when it comes to our beloved ones!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…