Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Pole sana mkuu
 
Pole sana cute....Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza 🙏
 
Kupitia Uzi huu inaonesha, Wanaotangulia kufa ni Sisi akina Baba then baadaye kabisa akina Mama.

Mungu asaidie pamoja na majukumu yetu ya kazi ambayo huwa ni hatarishi kwa sehemu kubwa, basi atufanye nasi tufikie Umri wa Uzee.

Tunapowaacha Wake zetu na watoto wadogo huwa wanapata tabu sana ya kuwalea peke yao.

Imagine una kufa mtoto wako wa kiume hata hajafanyiwa tohara, angalia Jinsi Mama atakavyopata tabu kuuguza hicho kidonda maana hata principles zake hazijui masikini.

Imagine mtoto wako baada ya barehe amekuwa hamsikilizi Mama yake tena, laiti ungekuwa hai sauti yako moja tu ingemtosha mtoto kubadirika😫😫
 
😭😭😭😭 Inaumiza sana mkuu ....sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…