residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ila kwenye "Make it Rain - Remix" ni bonge la collabo.
Watu wazima wameua.
Pia kuna dude la Big Punisher linaitwa "Punish Me", ni hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwenye "Make it Rain - Remix" ni bonge la collabo.
2pac ni G.O.A.T kwenye HipHop/Rap.Umemleta huyu mwamba tegemea na BIG kufuatia, hawa jamaa inawezekana battle lao liliendelea pema peponi ndio maana mashabiki hawataki kuelewana nani mkali zaidi ya…
ONYX wana dude la "Shut 'em Down" wakiwa na mwamba DMX, ni balaa.Dat Be dem , humo wametupia fresh white Tttt za kutosha, Fredo Starr na jamaa zake onyx walikuwa too hot for tv, strictly hard to the core
Kulikuwa na hawa wana 112,walikuwa ni balaa.Sio 112
Mkuu mziki wa era hiyo unaujua, salute kwakoKuna vijana hawajui Wu Tang Clan.
Triumph ni balaa.
Pia kuna Heavy D, Soul 4 Real, Tank, Eazy E, Craig Mack na goma lake "Flava in ya Ear - Remix, kuna Soul 4 Real, SHAI, New Edition, JODECI + KC-I & JoJo.
Nassir jones(NAS ESCOBAR,NAS MADAWA)
Snoop Dog na Dre ni combination moja hatari hadi keshokutwaDr. Dre na Snoop dogy na "smoke tour" yao. Ile ilikuwa tour ya kibabe na kwangu mimi ndio show nzuri zaidi kuiona humu duniani.
I tried so hard Ft akonBony thugs harmony
112Flipmode squad
Busta rhymes
Westlife
Backstreet Boys
Isley brothers
Jojo
Boyz ii men
Celine dion
Aaron tippin
Don Williams
Kenny Roger's
Madona
Dolly parton-hello God
Bryan adams
Philip Collins
Marc Anthony - you sang to me
Shania twain
Jeremy
Umemaliza mimi nilikua teja nalifatiliaga adi life style yake na mkewe tammy (mmbaya)😂😂😂ila ndio ivyo mwamba kazimia pale.T.I mnyama Sana na dude lake la Live your Life , na lile jingine la whatever you like , aisee huyu jamaa namkubali sana
Shook onesSijaona wanangu MOB DEEP mkiwataja...magoma yao yanaishi
Mpaka leo
Ova
KRS One, MCs act like they don't knowJerome childers---- too old for me
BlackRob---- 1.I dare you 2. Whoa