Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Bwashee , kuichapa kwa mtu mwenye uzoefu unapaswa uwe na mapafu ya duma , sasa madogo laini laini chips yai na totomoto hakuna ratiba ya mazoezi , lazima wasake point tatu kwa kusaka bikra

Kumridhisha mwanamke haihitaji nguvu Bwashee.
Inahitaji Tricky zaidi na ujuzi.

Walevi nyie ni ngumu Sana kusaka bikra nyie mmezoea mipira iliyokufa. Muwaleweshe makahaba huko Bar ndio mjipatie.

Kumvua nguo bikra sio rahisi na haitaji mwanaume mjinga.
 
💯
 

Watibeli tunahitaji mwanamke Bikra ndio aitwe Mke wetu na sio vinginevyo Mkuu.

Hilo hutaweza kulibadilisha kwetu.

Ingawaje hatukatazi watu wengine kuchukua kulingana na standards zao.
Kila MTU na jamii zina standards zake
 
"Sisi ndio namba moja kutoa bikira na always namba moja haumizwi bali yeye ndiye Muasisi, godfather founder" - Mtibeli na Wafuasi wake wa bikira, 1789 AD, Tanzagiza.
 
Hahahaha , uwezo mdogo dogo , wewe komaa na watoto wa shule ukidakwa usitusumbue kuja kukutoa
 
"Sisi ndio namba moja kutoa bikira na always namba moja haumizwi bali yeye ndiye Muasisi, godfather founder" - Mtibeli na Wafuasi wake wa bikira, 1789 AD, Tanzagiza.

Naam! Hiyohiyo Tanzagiza ndio tunaishi nayo na tunatamba nayo.

Fikiria mwanamke nimtumie Kwanza ndipo umuoe wewe.
Lakini ukimtumia wewe Mimi siwezi kumuoa.
Nani yupo Tanzagiza?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…