Nilisikia mkuu wa wiraya kinondoni akimpa masaa 24 akaripoti kwake sasa sijui alishatekeleza hilo agizo?Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania..
Kwahiyo ulimpatia au ukaahirisha?Aisee...sinto sahau siku moja natoka hospital general ..nikakutana na omba omba...mtu mzima hivi...
Akaniambia Dada naomba miambili Nile ukoko...Nina njaa..
Nlikua na elfu mbili tu ambayo Ni yangu.. nyingine nlikua nimagizwa matunda.
Daah nikamuona huruma..nikamwambia ngoja nitafute chenji..nikapata chenjii..nikamrudia alipokua amekaa..
Nlimkuta anahesabu hela kibao..buku buku..jelo, miambili ..yaani hela alizonazo Mimi Sina..
Aisee nilisikitika Sana...NIKASEMA dooh
Kweli.
Utakuwa hujaiona hii habari na wale vilema walivyokuwa wakihojiwa.Itakuwa majungu ya wenye Majumba ya kupangisha...kafanya discount ya kodi ya pango,ili walemavu nao wajimudu..amezushiwa ..Wabongo Bwana.
Huwezi Amini nilimpa...Nikapanda bajaji ya jero nikabaki na buku [emoji25]Kwahiyo ulimpatia au ukaahirisha?
Ni ya muda mrefu kwani mwananchi walishaandika kuhusu hili toka mwaka 2016Hii style ya huyu Mama ishagundulika hata Nairobi
Labda anaiga ama kaanza miaka mingi
Ukizubaa tunakukamata tunaenda kukufuga TandaleHongereni..tafuteni Sana Pesa...kwa udi na uvumba...haijalishi inapatikanaje...
wewe kwa mwandiko huu huna sheria yoyote unayoijua zaidi ya sheria za vijiweni.Post nyingi za kijinga humu.
Kwanza kisheria hakuna kosa kuwapangisha hapo kuna siasa uchwara
Serikali imefanya nini kuwasaidia walemavu hata huko wanakotoka?
Wapo wengi wanaokaa makanisani na misikitini asubuhi wanaingizwa mitaani waziri nenda na huko kawatandike viboko masheikh, wachungaji na mapadre.
Hakuna mlemavu anaelazimishwa ila ni kwa hiari yao tena wanafurahia kupata ahueni ya maisha.
Huyo mama apongezwe wakati serikali ikitafuta suluhisho ka kudumu kwa walemavu.
Lawama hapa Kwa serikali na Shukrani Kwa mama anaewasaidia walau kupata rizki.
Wajinga endeleeni kukurupuka.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....Fanyeni TU mabaya ya kila Aina ....Kama Ni PESA mtazipata SanaUkizubaa tunakukamata tunaenda kukufuga Tandale
kwani huko vijijini walipowatoa walikuwa hawali chakula na kulala. Huwez ukawa na akili timamu ukaita hii ni win win situation.Huyu mama mchaga nimemuelewa sana kwa huo mfumo wake wa win-win situation sio kama haya maccm yanayosubiri kupata ajira kwa kuteaka na kuiba kura
Huyo mama ni tabia yake tu mbovu ila hawezi kureflect tabia za kabila zima. Tabia ya mtu hutokana na makuzi na vinasaba alivyorith kwa wazazi wake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....Fanyeni TU mabaya ya kila Aina ....Kama Ni PESA mtazipata Sana
Mtatanua Sana..mtaendesha Magari mazuri Sana..mtamwaga makreti ya bia.
Na mtatoa Sadaka lukuki kanisani...Nia ikiwa Ni kujionesha TU kwa watu..
Na mkienda December mnasujudiwa...
Hayo maisha ndio mloyachagua....
Kakojoe ulale we liccmkwani huko vijijini walipowatoa walikuwa hawali chakula na kulala. Huwez ukawa na akili timamu ukaita hii ni win win situation.
hapa uchama umetokea wapi? Tumia akili tu ya kawaida ndugu yako ambaye huko kwenu mlikua mkimuhudumia vizuri, ghafla anatokea mtu akampatie matibabu sehemu fulani au hisani tu yoyote. Mwisho wa siku unakuta anafanyiwa vitendo vya namna hii ungejisikiaje?Kakojoe ulale we liccm