Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Kwani kwao walikuwa hawali na kuishi?Kwa hyo kwa ajili sanalishwa na kuishi ndio watembezwe barabarani?wewe angekuwa mtoto wako ni mlemavu ungekubali atembezwe barabarani kuombaomba?
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
 
Huyo mama ni tabia yake tu mbovu ila hawezi kureflect tabia za kabila zima. Tabia ya mtu hutokana na makuzi na vinasaba alivyorith kwa wazazi wake.
Nikweli Mimi hua napinga mambo ya kugeneralize ...But Mambo ya hiki kabila nayasikia Tangu napata ufahamu wa Akili.

Ila niwe muwazi sijakutana na mtu wa Hilo kabila akanifanyia Ubaya hata mmoja.
.
 
Just because you don't eat lion doesn't mean lion won't eat you....
.
 
Shangaa ya Musa...Ndo maana Kama Wewe umeamua kuishi maisha Fulani...Wewe ishi hayo maisha...

Wengine watachukua advantage ya hayo maisha yako..wengine watakukejeli..but simamia msimamo wako.

Haya wafanyayo Watu...Mungu tu ndo ajuae mwisho wao..
 
Yaan mama katoka kula sikukuu moshi ana rudi mjini daslaam ana kutana na kisanga 😆😆😆😆 pilau lote la moshi atalitapika
 
Haya ndio matokeo yake sasa
 
"Sisi ni next level, serikali imejaribu kutupoteza imeshindwa. Siku hizi Tunamiliki viwanda pia tunafanya Consultancy kubwa kubwa".
Pamoja na kutumia walemavu kukusanya mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…