Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Huwezi Amini nilimpa...Nikapanda bajaji ya jero nikabaki na buku [emoji25]

Sadaka yangu Kuna mahala ntailekeza
Ulitimiza dhamira uliyokuwa nayo haijarishi alikuwa na hela au hakuwa nazo. Mungu akubariki sana
 
Hiii habari umeipata wapi? Wacheni mambo ya uzushi bana.
 
Hiko ni moja ya vile viwanda alivyozindua meko?
 
Hawa watu kweli wanatafuta pesa kwa kila mbinu.
1. Kupitia vyama vya siasa
2. Kupitia walemavu
3. Kupitia wizi
4. Kupitia ujambazi
5. Kupitia kitimoto
6. Kupitia wizi wa kalamu
7. ............
Hahaha
 
Hata wale ombaomba waopelekwa Kenya kutokea Tz,wakala wa hiyo biashara ni haohao akina Swai,huyu yeye anaitwa Mushi.


Seems "December Conference" huwa inaambatana na kufahamishana fursa kama hizi
 
We si ndio unalalamika boyfriend wako anakufulisha nguo?
Enhe unasemaje Sasa... Mimi Ni mlemavu nafua nguo za Watu pesa anachukua yeye?

Kwanza kasome bandiko pale.. Hakuna aliefua nguo za mtu
 
ujasiria mali ni kipaji, juhudi, maarifa na kujituma. huyo sio wa kumshitaki anatakiwa aendelezwe ni mbunifu wa kuendelezwa hicho kipaji kisipotee. ungewapa watu hio guest wangesema hakuna biashara na wangefunga.
 
Hiii habari umeipata wapi? Wacheni mambo ya uzushi bana.
Habari tunazo mkuu,

Ilikuwa haiingii akilini kuona mchaga anatumia nauli hata 100 k kwenda Moshi..Mara 5 ya nauli ya kawaida dar -Moshi.

Ilibidi tuingia chimbo,,,kupata sababu ya hilo,,kwann xmass lazima imkute Moshi.

--Jibu ni kupeleka mahesabu na kujadiliana changamoto za maisha.

--Tarehe 25 dec xmass,,--siku kuu
--Tarehe 26 dec-- kikao cha family
--Tarehe 27 dec-- mkuu wa kaya anawapa ruhusa kurudi mjini kwa masharti ya kujiongezea zaidi kipato x mass ijayo,,

Sasa ole wako uje na maneno matupu,,badala ya pesa.

Makofi ya kizee yanakuhusu.
 
Uzushi mtupu.
 
Hakika
 
Hiyo ni moja, nyingine wanaambiwa kuna kazi DSM.
 
Biashara za watu
 
Bado yupo hadi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…