Nimeshangaa sana Na kubaki mdomo wazi;
1. Watanzania tunaroho za kikatili hadi tunafikia kuwatumikisha walemavu?!!
2. Serikali ZA mitaa, wilaya, mkoa Na hata mbunge wa eneo husika walikuwa wapi hadi biashara hii haramu ikaota mizizi na kustawi?!!!!
Tafadhali ndugu zangu viongozi na wananchi wapenda amani tusifumbie macho uovu wa aina hii na mwingine.
Naomba hao walio husika wachukuliwe hatua kali ZA kisheria ili iwe funzo Kwa wengine
Tena hatari mnoKama mtu mzima anaweza kuwatumikisha binaadamu wenzake bila huruma tena walemavu wa viungo...,,,huyo mtu anaweza kutenda dhambi yoyote bila uoga wala kujali. Wanaweza kujihusisha Na jambo lolote lile ilimradi wapate fedha!!! Hawa watu ni hatari sana ktk jamii
"bure" lakini wanaleta mapato!?Tumia akili dogo rasi. Kumbuka wanakaa bure. Kula bure. Kulala bure.
Watapinga na hiiHata wale ombaomba waopelekwa Kenya kutokea Tz,wakala wa hiyo biashara ni haohao akina Swai,huyu yeye anaitwa Mushi.
Seems "December Conference" huwa inaambatana na kufahamishana fursa kama hizi
Haya yanaitwa mapato ya AIBUKila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Kwamba unatetea!?Post nyingi za kijinga humu.
Kwanza kisheria hakuna kosa kuwapangisha hapo kuna siasa uchwara
Serikali imefanya nini kuwasaidia walemavu hata huko wanakotoka?
Wapo wengi wanaokaa makanisani na misikitini asubuhi wanaingizwa mitaani waziri nenda na huko kawatandike viboko masheikh, wachungaji na mapadre.
Hakuna mlemavu anaelazimishwa ila ni kwa hiari yao tena wanafurahia kupata ahueni ya maisha.
Huyo mama apongezwe wakati serikali ikitafuta suluhisho ka kudumu kwa walemavu.
Lawama hapa Kwa serikali na Shukrani Kwa mama anaewasaidia walau kupata rizki.
Wajinga endeleeni kukurupuka.
Mama mwenye nyumba wangu mstaafu wa bandari alikuwa na apartment tano, mashamba bagamoyo, na miradi mingine.Nikweli Mimi hua napinga mambo ya kugeneralize ...But Mambo ya hiki kabila nayasikia Tangu napata ufahamu wa Akili.
Ila niwe muwazi sijakutana na mtu wa Hilo kabila akanifanyia Ubaya hata mmoja.
.
....Sitaki kuamini kwamba Kuna Wa kutoka hata Nyumbani Tanga Hapo!![emoji848][emoji848]Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Kusema ukweli SIJUI wachaga huko Moshi hua wanawaleaje Hawa watoto Wao?Mama mwenye nyumba wangu mstaafu wa bandari alikuwa na apartment tano, mashamba bagamoyo, na miradi mingine.
Ila muda wote tunakaa pale kumbe kafanya illegal connection ya maji na umeme. Tunamlipa yeye hadi siku walipomgundua. Tukajiuliza mama huyu ana shida gani?
Au utapeli upo kwenye DNA ya hili kabila?
Heri ya mwaka mpya!Haya yanaitwa mapato ya AIBU
Wakati nakua nilikuwa namuheshimu sana mchaga na nilikuwa nawaona hard workers kweli. Ila kwa kadri umri unavyosonga na nilivyoishi nao na kufanya nao kazi nimejifunza mengi sana.Kusema ukweli SIJUI wachaga huko Moshi hua wanawaleaje Hawa watoto Wao?
Mbona wengi Ni waenda kanisa katoliki wazuri...
Kupenda pesa Sio kosa..HAKUNA asiependa
Ila Kutafuta pesa kwa njia ambazo haijalishi anaeumia Ni Nani, iwe dhulma,wizi, kuuwa..na mfanowe..
Kwanini wapo hivi?..
Zile story za mangi mashona viatu anakuja kuwa tajiri kwa kudunduliza pesa..Kumbe usiku ni MAJAMBAZI WAKUBWA.
Daah JF kila siku inapoteza ubora wake kwa watu kama nyinyi,huoni alichokifanya hakina tofauti na "human trafficking",ambapo kila UN wanalipigia kelele.Eti huu nao unaitwa ubunifu duu.ujasiria mali ni kipaji, juhudi, maarifa na kujituma. huyo sio wa kumshitaki anatakiwa aendelezwe ni mbunifu wa kuendelezwa hicho kipaji kisipotee. ungewapa watu hio guest wangesema hakuna biashara na wangefunga.
Unaweza kukuta wewe ni mla rushwa mzuri tuu huko kazini au kwenye shughuli zako, na unawadhulumu watu wengi haki yao ya kupata huduma bure... Unaweza kukuta wewe nyumbani kwako house girl unamlipa elfu 30 kwa mwezi na pesa yenyewe unampa kidogo kidogo, tena huku ukimgonga bila ridhaa yake, huu nao ni ukatili pia, unaweza kukuta shambani kwako kazi ya elfu 50 kibarua unampa elfu 20 kwa sababu tuu ana shida, huu ni ukatili pia. In short hata wewe unaweza kukuta ni mkatili wa kutupwa ila hapa umeshikia bango ya wenzio.Daah JF kila siku inapoteza ubora wake kwa watu kama nyinyi,huoni alichokifanya hakina tofauti na "human trafficking",ambapo kila UN wanalipigia kelele.Eti huu nao unaitwa ubunifu duu.
Nilikuwa natamani sana kuipata ID ya DC wa Kinondoni nashukuru sasa nimeipata kwani ninayoyaona hapa aliyasimulia hivi hivi Magic FM majuzi.Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni.
Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania.
My take:
Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani.
Chanzo: TBC ardhio 4/1/2021.
Na ndio maana kuna sheria,ukikosea unaadhibiwa kwa mujibu washeria kutokana na uzito wa kosa lenyewe.Unaweza kukuta wewe ni mla rushwa mzuri tuu huko kazini au kwenye shughuli zako, na unawadhulumu watu wengi haki yao ya kupata huduma bure... Unaweza kukuta wewe nyumbani kwako house girl unamlipa elfu 30 kwa mwezi na pesa yenyewe unampa kidogo kidogo, tena huku ukimgonga bila ridhaa yake, huu nao ni ukatili pia, unaweza kukuta shambani kwako kazi ya elfu 50 kibarua unampa elfu 20 kwa sababu tuu ana shida, huu ni ukatili pia. In short hata wewe unaweza kukuta ni mkatili wa kutupwa ila hapa umeshikia bango ya wenzio.
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Kazi nzuri ya fasihiTatizo la Nchi nzima Chief
Anafaa kulaumiwa .....ila wapo wanaofaa kulaumiwa zaidi ya sana
Hawafai kuitwa majina makubwa...wala kupewa vile walivyopewa katika nafasi
Waroho haoooo
Waongo haooo
Waizi haooo
Wachafu haooo
Wazandiki haooo
Lau siku ardhi itafungua kinywa chake....itakuja kuwakataa kama wao si asili yake
Miwatu imevimba na kuvimbiwa..
Mijitu imenenepa na kunenepeshwa
Hawana nafasi ya kuitwa Watu....Bali ni Viatu
Si wana haoooo.....ni laana
Wachafuzi wakubwa wa mazingira na waharibifu
Wanafaa kuchapwa mpaka kuchapika
Ipo siku yao.....Punde tu watajua..