Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar es Salaam. Mkurugenzi msaidizi wa miradi inayotekelezwa na Umoja wa Ulaya nchini kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, Leopold Lwajabe amekutwa amekufa wilayani Mkuranga.
Taarifa za zilizotolewa na msemaji wa wizara hiyo, Benny Mwaipaja zimesema wamejiridhisha kuhusu kifo hicho, muda mfupi wakijiandaa kutoa taarifa ya kumtafuta.
“Alitoweka wakati fulani wiki iliyopita lakini akaonekana. Ilikuwa ni muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kwake kutoka kazini. Alipoonekana alitakiwa kwenda kutoa maelezo polisi lakini kabla hajafanya hivyo, akapotea tena. Leo ilikuwa tutoe taarifa kwa vyombo vya habari kumtafuta,” amesema Mwaipaja.
Mkwaipaja amesema walisitisha kutoa taarifa hiyo baada ya kupokea fununu za mwili wake kuonekana huko Mkuranga hivyo wakatuma watu kwenda kujiridhisha na kukuta ni kweli. Kifo hicho kimethibitishwa leo, Julai 29.
We are in the middle of the most shameless regime in Africa.Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopard Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.
Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza Nyumbani kwake Kinyerezi,Tabata. Baada ya ndugu na majirani kumuhoji alidai alichanganyikiwa tu.
Juzi alhamisi wiki iliyopita alitekwa tena na baada ya ndugu kutoa taarifa Polisi walisema wasubiri baada ya SAA 72, Leo hii Asubuhi mwili wake Amekutwa akining'inia huko Mkuranga.
Taarifa zaidi zinakuja
Mkuu una uhakika gani watawala ndiyo wahusika,afu Tanzania siyo shithole.Huu si utawala!
Kila siku mnaambiwa lakini bado mnapiga mapambio!
Mpaka siku member wa familia yako anaguswa ndio mtaacha hayo mapambio!
This shithole country is a prison!
Been telling you folks!
Hakuwa mwanasiasa,ni ndugu yangu namfahamu vizuri sana.Awamu hii kama una mishe zako zinazokuingizia kipato ni vyema ukatulia, Mambo ya kujiingiza katika siasa mwisho wake ndio kama huu...
Kama huwezi kuisifia ni vyema ukaacha kujihusisha na siasa...
Apumzike kwa amani.
Ndio,ya pili ndo hii wamemuua kabisaDuh! Mkuu nyosha maelezo kidogo, ametekwa mara mbili?
Hakuwa maana siasa kabisa.Awamu hii kama una mishe zako zinazokuingizia kipato ni vyema ukatulia, Mambo ya kujiingiza katika siasa mwisho wake ndio kama huu...
Kama huwezi kuisifia ni vyema ukaacha kujihusisha na siasa...
Apumzike kwa amani.
Mara ya kwanza alirudishwa,ya pili kauliwa mkuranga.Mara mkuranga umekutwa mwili, mara alirudishwa kwa kinyerezi akadai alichanganyikiwa! so which is which? au umechanganyikiwa wewe mleta habari? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu
Mkuu una uhakika gani watawala ndiyo wahusika,afu Tanzania siyo shithole.
.pole mno kwa wafiwa,BUT mtu ameripotiwa kupotea na jeshi la polisi linawajibu wanandugu wasubiri kwanza 72hrs ndio msako uanze,tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunalalamika mno,common police mtu akipotea msako unaanza straight sio kusubiri,huyu atakuwa ni another Akwilina,tutamsahau punde ,maana sisi ni mahodari wa kulalama mitandaoni.
Kuna theories nyingi sana, sio kila kitu atawaambieni.Hakuwa mwanasiasa,ni ndugu yangu namfahamu vizuri sana.