Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

Malalamiko hayataisha hata kama Muungano utavunjika..
we are like "Big Brother" to them (Zanzibar) kwa hiyo hata huo muungano
ukivunjika bado watakuja na malalamiko mengine mfano tumewanyonya ,
umaskini uliopo Zanzibar ni ajili ya Bara.
"Tuwalipe" .... Swali Je hata huu Muungano ukivunjika , wataacha ku lalamika???
nionavyo binafsi La.
afrodenzi, ni kweli unachosema kwasababu tumejitolea sana katika muungano.
Wamedai bendera, wimbo wa taifa, vyombo vyao kama BPZ, ZRA, taasisi zao na hata kubadili katiba peke yao.
Wametupiga marufuku mambo mengi ingawa wao ni wanufaika. Hakuna wanachodai na hawajapewa lakini bado wanalalamika.

Malalamiko yao ni kama kuwa na IGP, waziri wa mambo ya nje, kiti EAC,UN n.k
Tutakapo waacha wawe wenyewe watakuwa katika nafasi nzuri sana ya kuelewa muungano ulikuwa na maana gani.
Watakuwa katika nafasi ya kulinganisha kati ya sasa na zamani
Ikifika hapo watapatwa na aibu ya kusota vidole maana hawatakuwa na la kusema

Lakini la muhimu zaidi tutapata nafasi ya kushughulikia matatizo yetu wenyewe.
Tunayo mengi na muda wa kubembeleza mtoto mgongoni hatuna.
Kwanini tusifikirie matatizo ya watu milioni 40, tubaki tunacheza mdumange na watu laki tisa na nusu

Hatari ya kuendelea kuwa nao ni pamoja na wao kusambaza mbegu za ubaguzi. Watu wanaojiona ni bora kuliko wanadamu wengine ni hatari sana. Watakapomaliza kuwafurumisha Watanganyika wataendelea kuvuka mipaka ili kusambaza sumu.

Tunajua wanapenda kuishi katika makundi kama kule makorora, msasani, Ilala n.k. Ipo siku watawafukuza wakazi a makorora kwasababu tu hawana imani yao. Ipo siku wataomba Morogoro iwe sehemu za Zbar kwasababu tu kila wanachoomba wanapewa.

Ipo siku tutasikia UAMSHO Tanzania bara ikiwataka machogo na wakristo wahame pwani kwani ni sehemu ya sultan, wao wanaamini huwezi kuwa mchaga mwislam na hata ukiwa basi utakuwa na uwalakini kwasababu siyo Mzanzibar ambaye ni bora.

Na mwisho tujiulize hivi sisi tunapata nini kutoka Zbar? Tutaendelea kulipa mishahara, umeme, ulinzi, wastaafu, gharama za elimu n.k kwa ujira wa matusi,ubaguzi, kashfa hadi lini?

LET ZBAR GO
 
Msitunyonye bana nyie! Msitunyonye mnatudhiri! Tuachaneni angalau tujikung’ute kidogo! Tumekuwa mafukara; mtu mwenye miaka kumi na tatu amepinda mgongo kama mtu wa miaka sabini na tano! … tunachotaka sasa hivi mtuachie tupumue! – Mhadhara wa Uamsho Zanzibar Machi 4, 2012.


Nimekuwa mtetezi wa Muungano kiasi kwamba nimegundua nimebakia peke yangu. Wengine wanautetea Muungano kwa kutumia vitisho na wengine wanautetea kwa kutumia dharau. Binafsi ninaamini muungano unaweza kutetewa kwa hoja maridhiwa zenye kuonesha kuwa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wananufaika na wataendelea kunufaika zaidi katika Muungano kuliko nje ya Muungano.

Nidhahiri kuwa hakuna mwenye uwezo huo na sasa kilichobakia ni sote kwa pamoja kutoka Bara tuseme nasi pasi ya shaka kuwa LET ZANZIBAR GO- Iacheni Zanzibar iende.

Itaenda wapi zaidi ya kuwa kwenye kivuli cha Tanganyika ndani au nje ya Muungano


Tuwasaidie waharikishe wajitoe kwani hakuna kiongozi yeyote ambaye amekuwa na uwezo wa kuutetea Muungano kwa hoja maridhawa badala ya kutumia vitisho na mikwara.


Mkuu Mkandara, umeongea mengi yenye hekima. Nichangie pale ulipoishia....

.....Alichokiri ni kuwa Wzbar hawataki muungano ufe.

Kwa namna yoyote na akili yoyote ukiweka faida za muungano na hasara zake hakuna shaka faida ni nyingi sana kwa Zbar. Labda niwe blunt, bara hawafaidi chochote zaidi ya kuwa mbeleko.

Ni ongezeko la dhiki kwasababu kwa hali yoyote kuna mahali Zbar itakuwa katika kivuli cha Tanganyika.

Kwa Tanganyika, tumechoka kutoa kila siku na malalamiko kila uchao.
muda wa kuwa mshumaa umekwisha.
LET ZANZIBAR GO! PACK AND GO.

Hakuna majadiliano yatakayokubalika zaidi ya kuwacha waende.
Ngoja nitafute miwani. Hivi macho yangu yanaona sawa kweli?
 
Nimekuwa mtetezi wa Muungano kiasi kwamba nimegundua nimebakia peke yangu. Wengine wanautetea Muungano kwa kutumia vitisho na wengine wanautetea kwa kutumia dharau. Binafsi ninaamini muungano unaweza kutetewa kwa hoja maridhiwa ......

Nina uhakika wapo Watanganyika ambao watashukuru sana kwa wao pia kupewa nafasi ya kupumua kuliko kila siku kuimbiwa “Zanzibar, Zanzibar”; kama kweli inavyosemwa Muungano ni kama koti likibana unalivua ni wazi kuwa wanaobanwa na koti hilo sasa siyo Zanzibar tena bali ni watu wa bara na sasa wameamua kuwapa Wazanzibar uwezo kamili (absolute power) kujitoa kwenye Muungano bila kufanya mihadhara mingi wala kushindana na dola.

Nidhahiri kuwa hakuna mwenye uwezo huo na sasa kilichobakia ni sote kwa pamoja kutoka Bara tuseme nasi pasi ya shaka kuwa LET ZANZIBAR GO- Iacheni Zanzibar iende.

Tuwasaidie waharikishe wajitoe kwani hakuna kiongozi yeyote ambaye amekuwa na uwezo wa kuutetea Muungano kwa hoja maridhawa badala ya kutumia vitisho na mikwara.

Kwa muda mrefu wamekuwa wakituona kama mazoba fulani hivi; wanatututakana tunacheka, wanatushutumu tunatabasamu na sasa wamefika mahali kutuita wakoloni na bado tunafikiri mzaha. Sasa hivi hatukubali tena; njia ya tatu ya kuwasaidia kutoka itakuwa ni kuanza kushakizia serikali moja ya Muungano; hatutaki mbili wala tatu. Tunajua Wazanzibar hawawezi kukubali serikali moja... itabidi watoke! kama wenyewe hawawezi kutoka tutawasaidia kiaina kwa sababu watawala wetu wameshindwa kuutetea Muungano, wameshindwa kujibu tuhuma za kipuuzi.

Mzee Mwanakijiji.

Siku za hivi karibuni umekuwa unafanya siasa kama CCM, tena kwa ustadi na weledi.

Siku umma wa Tz utakapochoka kusikiliza propaganda za ki-CCM na kuzikubali kiulani watagundua kuwa unachokifanya sasa katika makala za karibuni kuhusu Muungano ni sawa na Mwalimu Nyerere kulia, kudondosha machozi kwa "huzuni" baada ya kuapata taarifa za kifo cha Sokoine
.

Matukio ya Zanzibar yamekuparaganya na sasa unajaribu kuwababaisha wasomaji wako. MMJ una wafuasi wengi, wafuatiliaji wengi wa makala na michango yako watendee haki.

Ni nini lengo hasa la makala zako za hivi karibuni?

Mkuu Katiba mpya ambayo haitoi nafasi kuujadili Muungano kwa upana wake inatuletea madhara ya kimsongo wa mawazo hata sisi ambao tunaombea amani Jamhuri yetu ya Muungano wa Kero.

Tuna mjadala wa katiba mpya hili ni muhimu sana sasa hizi makala nyingite tena mkuu zinakusudia kuibua nini?

Sera ya serikali mbili mbili kuelekea moja ni sera ya nani?

Umenifurahisha sana Mzee Mwanakijiji.

JF umepata umati wa kukuunga mkono. Mimi pia nitie hesabuni. Sasa tutafute wapambe/wadhamini katika dola, mawaziri, wabunge na watendaji wa serikali ili tuwakabidhi hili kabrasha...tuwatie moyo na tuwape nguvu, tuwashajihishe wawe wakakamavu, wajiamini watoe kauli ya "Zanzibar,wazanzibari, pack and go!"
 
Nonda,

..kupinga muungano huku Tanganyika imekuwa kama mwiko vile.

JokaKuu,
Kwa nini kupinga muungano huku Tanganyika imekuwa mwiko?

Inaonekana usemayo ni kweli. Kwani hata threads hizi za sasa si za kupinga Muungano bali zina nia ya "kuwaadabisha " (kuwaziba midomo) UAMSHO kwa kushukiwa kuwa wamechoma makanisa.

UAMSHO wameibua mjadala wa wazi wa Muungano. Hakuna katika aliyethubutu kudadisi Muungano na akasalimika.

Unafikiri watangayika wanaupenda Muungano?
Kama hawaupendi kwa nini kwa miaka 48 malalamiko yamekuwa yanatoka upande mmoja tu wa Muungano(Zanzibar)?

Upande wa pili umekuwa kwa kila linalolalamikiwa basi utatuzi wake ni kulifanya jambo linalolalamikiwa kuwa ni la muungano na hii maana yake ni kuchukua mamlaka ya upande unaaolalamika.

Kwa nini Kero za muungano zimeendelea kuwepo?
 
Mkuu,
Asante kwa contribution yako nzuri ingawa ina mapungufu mengi .....

Nilizaliwa Zanzibar kwa mchanganyiko wa Babu Muunguja na bibi kutoka Tanga so sina nisilolijua kuhusu Zanzibar na na madhila yake [Ila mimi ni MTANZANIA, si Mtanganyika wala si mzanzibari; ndivyo nilivyojaza katika maelezo yangu yoooote katika dunia hii .....

2. Zanzibar kuna matatizo mengi tu na Muungano just umebeba sehemu ndogo tu ya matatizo yaliyoko Zanzibar ......

3. Miye nasapoti Muungano ufe siyo kwa sababu sitaathirika, la hasha nitaathirika kwa sababu ni ukweli kwamba nimewekeza zaidi Tanganyika na hasa Tanga ambapo imetokea Mama angu ni mtoto pekee kwao na hivyo kuwa na hazina kubwa ya mapori yaliyoachwa na babu(Nimefanya investments za kufa mtu katika mashamba hayo kiasi kwamba imekuwa rahisi hata kusomesha wanangu maeneo mbalimbali duniani-Alhamdulillah!),.....

LET ZANZIBARI GO!

Zinadine

Kwa vile wewe unaisapoti hii "Let Zanzibar go!"
Nitazungumza na kamanda Nguruvi3 ili afumbie macho ardhi uliyonayo wewe, pengine tutakupatia uraia wa Tanganyika. ili uthiathirike na hii
......Sasa ni LET ZANZIBAR GO!
Ikifika July 1 2012 kama hawajafanya maamuzi tutawauliza huko maofisini, mitaani , vyuoni n.k.
Tutawaambia, acheni Watanganyika wahangaike na nchi yao, rejeeni Zanzibar hatuhitaji wataalam au wawekezaji.

Kwa vile mtanganyika hapati ardhi visiwani, hili halitakuwa siri tutawaambia usoni ninyi mnapataje?
LET ZANZIBAR GO! LET THEM GO ASAP
Waambie majirani, rafiki na nduguyo kuwa Wazanzibar wantakiwa waondoke mapema.

Zinadine usiwe na wasiwasi hapa si unaona menyewe bana Kamanda amekukubali tayari.
Zinedine,
Post yako #89 imejaa hekima ambazo Wazanzibar wengi hawazioni.

Malalamiko ya wzbar mengine yanatia kichefu chefu. .
The time is up, pack and go!
Visit us as others do! Na jinsi inavyochelewa ndivyo Wabara wanavyopata hasira!
Tutaweka wazi kila kitu

Zanzibar offers 0, LET THEM GO

LET ZBAR GO, GO NOW, IF POSSIBLE JULY 1 2012.



Waalabu wa Pemba bana,................
 
JokaKuu,
Kwa nini kupinga muungano huku Tanganyika imekuwa mwiko?

Inaonekana usemayo ni kweli. Kwani hata threads hizi za sasa si za kupinga Muungano bali zina nia ya "kuwaadabisha " (kuwaziba midomo) UAMSHO kwa kushukiwa kuwa wamechoma makanisa.

UAMSHO wameibua mjadala wa wazi wa Muungano. Hakuna katika aliyethubutu kudadisi Muungano na akasalimika.

Unafikiri watangayika wanaupenda Muungano?
Kama hawaupendi kwa nini kwa miaka 48 malalamiko yamekuwa yanatoka upande mmoja tu wa Muungano(Zanzibar)?

Upande wa pili umekuwa kwa kila linalolalamikiwa basi utatuzi wake ni kulifanya jambo linalolalamikiwa kuwa ni la muungano na hii maana yake ni kuchukua mamlaka ya upande unaaolalamika.

Kwa nini Kero za muungano zimeendelea kuwepo?

kumbe nyie wavisiwani mnataka mfukuzwe na kuchomewa nyumba zenu huku bara ndio mjue kuwa watanganyika hawaupendi muungano? watanganyika sio watu wa aina hiyo..huku watu wanafikiri kabla ya kutenda na wanaangalia mbele hawaangalii chini kama nyie. mwanakijiji keshawafungulia njia kama nyie kweli mmedhamiria fanyeni kweli ila nina uhakika hamuwezi mtaendelea kuikumbatia ccm ambayo ndio imeleta huu muungano msioutaka
 
JokaKuu,
Kwa nini kupinga muungano huku Tanganyika imekuwa mwiko?
Inaonekana usemayo ni kweli. Kwani hata threads hizi za sasa si za kupinga Muungano bali zina nia ya "kuwaadabisha " (kuwaziba midomo) UAMSHO kwa kushukiwa kuwa wamechoma makanisa.
UAMSHO wameibua mjadala wa wazi wa Muungano. Hakuna katika aliyethubutu kudadisi Muungano na akasalimika.
Unafikiri watangayika wanaupenda Muungano?
Kama hawaupendi kwa nini kwa miaka 48 malalamiko yamekuwa yanatoka upande mmoja tu wa Muungano(Zanzibar)?
Upande wa pili umekuwa kwa kila linalolalamikiwa basi utatuzi wake ni kulifanya jambo linalolalamikiwa kuwa ni la muungano na hii maana yake ni kuchukua mamlaka ya upande unaaolalamika.
Kwa nini Kero za muungano zimeendelea kuwepo?
Hakuna mwiko wa kupinga muungano bara kwasababu;
1. Tunaamini wazanzibar ni wenzetu na tofauti zinazungumzika wala si povu au kuchoma moto
2. Hatuamini kuwa sisi ni koloni la Zanzibar na hatuna sababu ya kuamka kwa jazba
3. Wala hatuamini kuwa sisi ni 'watu bora' kuliko wanadamu wengine kwahiyo tuna haki kutoka kwa mwenyezi mungu kuwabagua, kuwaadhibu na kuwachoma moto wanadamu wenzetu

Juu ya hayo, la muhimu sana ni kuwa hatupati chochote zaidi ya kupoteza.
Tunapinga muungano kwa hoja tu si vurugu. Tunatoa sababu za kwanini tumechoka

1. Hatuwezi kukubali ushirika wa chako ni chetu, changu ni changu
2. Tumechoka kubeba mbeleko huku waliobebwa wakicheza msewe
3. Hatuna sababu ya kuvumilia matusi kwa gharama za hisani.
4. Hatuna sababu ya kuungana na wenye chuki dhidi ya maumbile, wajihi au imani zetu.

Katika kupinga tunasema hivi
1. Wazanzbar waachwe waamue hatima ya taifa lao, ubora wao wa kibinadamu na kiimani
2. HatutakI serikali 3 kwasababu
a} Zanzibar haina cha kuchangia zaidi ya kutubebesha mzigo

3. Hatutaki mkataba kwasababu
- Hakuna jambo lolote la mkataba litakaloifidisha bara. Mkataba ni njia ya kuhalalisha changu changu,chako ni chetu

4. Hatutaki uhusiano mwingine zaidi ya ule wa kimataifa. Tukutane FIFA, EAC, WBA, SADC, COMESA

Tunawaeleza Watanganyika, wanajisikiaje kulipa kodi ili iwaendeleze watu wasiotupenda?
Tunauliza hivi ni kwanini Mtanganyika wa Kidatu na mtera alipe bei ya juu ya umeme kwa mzanzibar asiyejua bill ni nini
Tunawauliza, hivi kwanini Mbara alipe kodi kwa mishahara ya mzanzibar
Kwanini Mbara abebe mzigo wa kutunza viongozi wastaafu wa SMZ
Kwanini mbara anywimwe ajira na apewe mzanzibar yule yule asiyependa Watanganyika?
Kwanini mbara anyimwe nafasi na nafasi hiyo hiyo ya chuo apewe mzanzibar si kwa sifa bali kwa uzanzibar wake?
Kwanini mkulima wa moro au Iringa alipe kodi kumkopesha mzanzibar wa chuo asiyewapenda?

Kwani tatizo ni nini kama tukiwaacha waende zao ili nasi tupumue na matatizo yetu?
Kwanini tusiseme LET ZBAR GO
-
 
Wiki ijayo inshallah; tutaipeleka hii hoja mbele zaidi... muda wa watu wa bara kukaa kimya na kuchapwa makonde ya kejeli kila siku umepita. WE CAN DEFEND who we are.
 
Waishie zao na sisi tusonge mbele, binafsi sioni ni kwa nini serikali inataka huu Muungano uendelee. Faida zake ni nini hasa? Kuna raha gani kuendelea kuishi na watu wanaodai wameolewa kwa hila? Serikali, tafadhali vunjilieni mbali hii kitu Muungano.
 
Let them go hatuna cha kupoteza .ni vigumu sana kuishi nyumba moja na mtu mwenye chuki na ubaguzi .kwanza naona tunachelewa sana muungano ufe tu.
 
Kama mumemsoma Baru baru na wazbar wengine hapa jamvini, mara zote hawasimamii Zbar kujiondoa.
Wanachotaka ni Tanganyika nayo idai kuwa muungano si mzuri ili ijengwe hoja kuwa kuna malalamiko pande zote kwahiyo tukae pamoja na kuangalia nini tufanye.

Katika kukaa pamoja ndipo suala la serikali 3, mkataba wa muungano au uhusiano kama wa EU utakapoletwa.
Utaletwa si kwa faida ya pande mbili isipokuwa Zbar.
Mambo yatakayoletwa mezani ni gharama za elimu ya juu, Ulinzi, uwekezaji, Ardhi, Ajira, Afya, ushuru wa forodha na pengine sarafu moja.
Nishati haitaongelewa kama nishati bali mafuta na hilo llimeshasemwa si la muungano yawepo yasiwepo.
Katika mambo yote hayo hakuna hata moja litakalomsaidia Mtanganyika. Yote ni furushi la mzigo tena uliooza.

Ndg Yangu Nonda anashangaa kuwa Zanzibar haiwezi kuwa chini ya kivuli cha Tanganyika kama alivyosema na nilivyomnukuu Mwanakijiji.
Hili halihitaji hata elimu ya sekondari. Kwa vile tumeamua kuwapa mtihani na majibu tutawaonyesha kila jambo.

Mzbar akiwa bara anaitwa Mtanzania. Tanzania inapakana na nchi 8 kwa ukaribu. Kwa maneno mengine mwananchi wa kawaida wa Zbar anapakana na nchi 8. Ikiwa mathalani ana biashara basi ugumu unaanza pale anapovuka mpaka wa Tanzania. Ikiwa ni mkulima basi bidhaa zake zinauzwa kwa sarafu ya kigeni zikishavuka Tanzania, ima kwenda Malawi, Uganda au Kenya. Nje ya muungano Zbar inapunguza mipaka na kupunguza wigo wa soko

Mzbar akiwa bara anafaidika na soko la watu milioni 40 iwe kwa ajira, uwekezaji au biashara.
Mathalani, thamani ya samaki kutoka Zbar pale feri inaweza kuwa sh 10,000. Samaki huyo atauzwa sh 2000 visiwani. Soko ndilo linaamua bei nasi muuzaji. Mvuvi ataishia kuuza pweza kwenye mahoteli yanayomilikiwa na 'makafir wazuri' wa kiitaliano si kafir wa bara

Hiyo Bandari huru inayozungumziwa haipo kama hakuna soko. Soko la Zbar si Kenya, Comoro au usheli sheli.
Soko ni Tanzania bara, iwe moja kwa moja au kupitia kuelekea masoko mengine. Hata wzbar walioko nje ya nchi bidhaa zao zinalenga soko la bara. Huwezi kufanya biashara na watu laki 6 wanaoishi visiwani wengine wakiwa nje.

Lakini tujiulize, hivi Bagamoyo au Tanga zikifanywa badari huru ile ya Zbar itamhudumia nani ?
Kenya wanajenga kule malindi. Kelele hizi za bandari huru kama Dubai ni myth za UAMSHO na kwa bahati mbaya hata mwenye degree kaingia mtegoni!

Bidhaa za kawaida kutoka bara zinaingia kama zinavyokwenda Morogoro.
Nje ya muungano kuna yatakayojitokeza kila mmoja akitaka kodi ya gunia la kiazi.
Gunia la sasa la sh 50,000 litakuwa si bei hiyo tena. Atakayelipia gharama hizo ni mwananchi wa kawaida wa Zbar.

Ni lazima wajiulize, kama nchi yao ina neema vipi wapemba na waunguja wajazane bara kwa huduma, ajira biashara na elimu?

Nawe Mtanganyika angalia mambo yote halafu uje hapa utuambie lipi unaona litakuathiri wakiondoka zao?
Kama hakuna jibu kwanini jibu lisiwe rahisi tu LET ZANZIBAR GO! PACK AND GO ASAP
Hivi kwanini uamini ujira wa hisani zako ni matusi, kashfa, ukafir, uchogo na moto ni halali yako?

Mtanganyika jiulize, hivi kwanini wewe ulipwe ujira wa ukafir, umalaya, ujambazi ili hali kodi yako
-inamlipia Mzanzibar pale chuo kikuu
-Inalipa mishahara ya SMZ
-Inalipa mafao ya marais na wastaafu wa ZBAR
-Inalipa gharama za wabunge wa Zbar walio ndani ya bunge la makafir
-Inalipa umeme unaotumika katika vipaza sauti vya kukukashifu,kukudharau, kukukejeli na kukudhalilisha!

Lakini pia muhimu ni kuwa kama Wazanzibar walio bora miongoni mwa wanadamu wana uzalendo na nchi yao, wewe Mtanganyika uzalendo wako upo wapi? Uzalendo wako ni kumeza matusi na kashfa, kukimbizwa na vijinga vya moto kama kibaka. Kwanini usijiulize nani atatatua matatizo yako kama si wewe ukiwa mwenyewe bila bughadha!

Utapata wapi utulivu ukiwa na kelele hizi za kila siku. Vipi kama utasema LET ZANZIBAR GO! Ili ukweli ukuache huru
 
Nguluvi umeongea point nzito sana, haya uliyoandika yakisemwa jangwani Leo sijui itakuaaje
 
Kama mumemsoma Baru baru na wazbar wengine hapa jamvini, mara zote hawasimamii Zbar kujiondoa.
Wanachotaka ni Tanganyika nayo idai kuwa muungano si mzuri ili ijengwe hoja kuwa kuna malalamiko pande zote kwahiyo tukae pamoja na kuangalia nini tufanye.

Katika kukaa pamoja ndipo suala la serikali 3, mkataba wa muungano au uhusiano kama wa EU utakapoletwa.
Utaletwa si kwa faida ya pande mbili isipokuwa Zbar.
Mambo yatakayoletwa mezani ni gharama za elimu ya juu, Ulinzi, uwekezaji, Ardhi, Ajira, Afya, ushuru wa forodha na pengine sarafu moja.
Nishati haitaongelewa kama nishati bali mafuta na hilo llimeshasemwa si la muungano yawepo yasiwepo.
Katika mambo yote hayo hakuna hata moja litakalomsaidia Mtanganyika. Yote ni furushi la mzigo tena uliooza.

Ndg Yangu Nonda anashangaa kuwa Zanzibar haiwezi kuwa chini ya kivuli cha Tanganyika kama alivyosema na nilivyomnukuu Mwanakijiji.
Hili halihitaji hata elimu ya sekondari. Kwa vile tumeamua kuwapa mtihani na majibu tutawaonyesha kila jambo.

Mzbar akiwa bara anaitwa Mtanzania. Tanzania inapakana na nchi 8 kwa ukaribu. Kwa maneno mengine mwananchi wa kawaida wa Zbar anapakana na nchi 8. Ikiwa mathalani ana biashara basi ugumu unaanza pale anapovuka mpaka wa Tanzania. Ikiwa ni mkulima basi bidhaa zake zinauzwa kwa sarafu ya kigeni zikishavuka Tanzania, ima kwenda Malawi, Uganda au Kenya. Nje ya muungano Zbar inapunguza mipaka na kupunguza wigo wa soko

Mzbar akiwa bara anafaidika na soko la watu milioni 40 iwe kwa ajira, uwekezaji au biashara.
Mathalani, thamani ya samaki kutoka Zbar pale feri inaweza kuwa sh 10,000. Samaki huyo atauzwa sh 2000 visiwani. Soko ndilo linaamua bei nasi muuzaji. Mvuvi ataishia kuuza pweza kwenye mahoteli yanayomilikiwa na 'makafir wazuri' wa kiitaliano si kafir wa bara

Hiyo Bandari huru inayozungumziwa haipo kama hakuna soko. Soko la Zbar si Kenya, Comoro au usheli sheli.
Soko ni Tanzania bara, iwe moja kwa moja au kupitia kuelekea masoko mengine. Hata wzbar walioko nje ya nchi bidhaa zao zinalenga soko la bara. Huwezi kufanya biashara na watu laki 6 wanaoishi visiwani wengine wakiwa nje.

Lakini tujiulize, hivi Bagamoyo au Tanga zikifanywa badari huru ile ya Zbar itamhudumia nani ?
Kenya wanajenga kule malindi. Kelele hizi za bandari huru kama Dubai ni myth za UAMSHO na kwa bahati mbaya hata mwenye degree kaingia mtegoni!

Bidhaa za kawaida kutoka bara zinaingia kama zinavyokwenda Morogoro.
Nje ya muungano kuna yatakayojitokeza kila mmoja akitaka kodi ya gunia la kiazi.
Gunia la sasa la sh 50,000 litakuwa si bei hiyo tena. Atakayelipia gharama hizo ni mwananchi wa kawaida wa Zbar.

Ni lazima wajiulize, kama nchi yao ina neema vipi wapemba na waunguja wajazane bara kwa huduma, ajira biashara na elimu?

Nawe Mtanganyika angalia mambo yote halafu uje hapa utuambie lipi unaona litakuathiri wakiondoka zao?
Kama hakuna jibu kwanini jibu lisiwe rahisi tu LET ZANZIBAR GO! PACK AND GO ASAP
Hivi kwanini uamini ujira wa hisani zako ni matusi, kashfa, ukafir, uchogo na moto ni halali yako?

Mtanganyika jiulize, hivi kwanini wewe ulipwe ujira wa ukafir, umalaya, ujambazi ili hali kodi yako
-inamlipia Mzanzibar pale chuo kikuu
-Inalipa mishahara ya SMZ
-Inalipa mafao ya marais na wastaafu wa ZBAR
-Inalipa gharama za wabunge wa Zbar walio ndani ya bunge la makafir
-Inalipa umeme unaotumika katika vipaza sauti vya kukukashifu,kukudharau, kukukejeli na kukudhalilisha!

Lakini pia muhimu ni kuwa kama Wazanzibar walio bora miongoni mwa wanadamu wana uzalendo na nchi yao, wewe Mtanganyika uzalendo wako upo wapi? Uzalendo wako ni kumeza matusi na kashfa, kukimbizwa na vijinga vya moto kama kibaka. Kwanini usijiulize nani atatatua matatizo yako kama si wewe ukiwa mwenyewe bila bughadha!

Utapata wapi utulivu ukiwa na kelele hizi za kila siku. Vipi kama utasema LET ZANZIBAR GO! Ili ukweli ukuache huru

Kwa mbara yoyote atakayesoma uliyoandika nadhani baada ya kumaliza atakuwa anapiga jaramba kujiandaa na kazi ya kusafisha jiji la dar.
NIA YA KUWAONDOA KWETU TUNAYO
UWEZO WA KUWAONDOA TUNAO
SABABU KUWAODOA TUNAZO
HAKI YA KUWAONDOA TUNAYO
CHUKI DHIDI YETU WANAYO
MITUMBWI YA KUWASAFIRISHIA TUNAYO!
JESHI LA KUSIMAMIA USAFI TUNALO!
wao wameisha sema hawatutaki kwao na muungano hawautaki tena wamechoma hadi maduka ya ndugu zetu na makanisa, kila kukicha wanapiga kelele na kuandamana , kila siku zinavyozidi kupita ndio wanavyozidi kutuchukia. kumbukeni dawa ya jipu ni kulikamua litoke.na hawa jamaa wanakoelekea msishangae siku moja wakaanza kujilipua au kutega mabomu bara kama wasomali wanavyofanya huko Kkenya. hawa watu sio wazuri kwetu hata kidogo, inabidi tutengane nao haraka sana na mipaka idhibitiwe, tunataka kuanzia leo ukiona mpemba kariakoo unamuona ni foreigner kama vile tunavyowaona wanigeria, wakenya wazambia nk. visa yake ikiisha arudi kwao, hakuna kuwa na haki yoyote kama vile ardhi, kumiliki nyumba nk.
HEBU TUANZISHE KULA YA MAONI
TAKBIIIIIR!
 
kwa mbara yoyote atakayesoma uliyoandika nadhani baada ya kumaliza atakuwa anapiga jaramba kujiandaa na kazi ya kusafisha jiji la dar.
Nia ya kuwaondoa kwetu tunayo
uwezo wa kuwaondoa tunao
sababu kuwaodoa tunazo
haki ya kuwaondoa tunayo
chuki dhidi yetu wanayo
mitumbwi ya kuwasafirishia tunayo!
Jeshi la kusimamia usafi tunalo!
Wao wameisha sema hawatutaki kwao na muungano hawautaki tena wamechoma hadi maduka ya ndugu zetu na makanisa, kila kukicha wanapiga kelele na kuandamana , kila siku zinavyozidi kupita ndio wanavyozidi kutuchukia. Kumbukeni dawa ya jipu ni kulikamua litoke.na hawa jamaa wanakoelekea msishangae siku moja wakaanza kujilipua au kutega mabomu bara kama wasomali wanavyofanya huko kkenya. Hawa watu sio wazuri kwetu hata kidogo, inabidi tutengane nao haraka sana na mipaka idhibitiwe, tunataka kuanzia leo ukiona mpemba kariakoo unamuona ni foreigner kama vile tunavyowaona wanigeria, wakenya wazambia nk. Visa yake ikiisha arudi kwao, hakuna kuwa na haki yoyote kama vile ardhi, kumiliki nyumba nk.
Hebu tuanzishe kula ya maoni
takbiiiiir!


chilisosi punguza chili kidogo , nani kakuchomea duka lako na kanisa lako wewe ???

Hutaki kusoma thread nyengine zaidi ya zanzibar wewe , unajua hapo ulipo dalisalama upo kwa hisani ya wazaramo wakiamua kuwatimua utaenda wapi wewe ??? Tizama mlivyolihalibu jiji hata usalama hakuna wa kila kitu

NAKUSAIDIA SOMA HAPA LABDA UTAWACHA HIZO PROPAGANDA ZA KANISA LAKO

UKILALA unaamka. Kama huamki na bado una uhai basi unaamshwa. Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiko) ya huko Zanzibar inasema kwamba imejitweka jukumu la kuwaamsha Wazanzibari kuhusu mengi - ya dini na dunia.


Miongoni mwa hayo ni Muungano wa Tanzania ulioziunganisha nchi za Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili mwaka 1964. Kwa ufupi, Jumuiya ya Uamsho inaupinga Muungano. Hamna shaka yoyote kwamba kwa hilo ina wafuasi wengi sana Visiwani.

Jumuiya hiyo imekuwa ikiandaa mihadhara ya kuwapa elimu ya kiraia waumini wa dini ya Kiislamu kuhusu masuala ya katiba likiwamo suala la Muungano na uhalali wake.

Tukumbuke kwamba wanao uhuru wa kufanya hivyo na wakati huohuo tusiyasahau maneno ambayo Mwalimu Julius Nyerere alimwambia mwandishi Colin Legum wa gazeti la Obsever la Uingereza mwaka 1965 kwamba hatowapiga mabomu Wazanzibari wamridhie endapo watakataa kuendelea na Muungano.

Mihadhara hiyo ya Uamsho inapendwa na huhudhuriwa na watu mia kadhaa kama si elfu kadhaa kila inapofanywa. Japokuwa inapendwa hivyo imekuwa ikiwakera baadhi ya walio na madaraka Zanzibar na wasiofurahishwa na Maridhiano yaliyopo Visiwani.

Wanachokitaka waheshimiwa hao ni kuzuka kwa fujo zitazoweza kuisambaratisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa na hata kuzusha hali zitazopelekea kusimamishwa kwa mchakato wa katiba.



Mkakati wao ni rahisi kuuelewa: chochea fujo kwa kuwatumia vijana, watomeze wenye jazba washambulie makanisa, wahusishe viongozi wa Uamsho na mtandao wa kigaidi wa al-Qa'eda, wahusishe viongozi wa CUF na Uamsho na harakati zao.

Wanatumai kwamba kwa kufanya hivyo wataweza kuwafanya wakuu wa serikali ya Tanzania na wakubwa wa dunia hii waiangalie Zanzibar kwa jicho jingine. Wanachotaka hasa, na kwa hili wana wenzao Bara, ni kuzizima harakati za kuujadli Muungano.

Fujo zilizoanzia Jumamosi ya tarehe 26 Mei zilichochewa na polisi kwa kutotumia hekima walipomtia nguvuni Sheikh Mussa Issa. Wafuasi wake wakamiminika, wake kwa waume, wakubwa kwa wadogo mbele ya kituo cha polisi alikoshikwa na wakadai aachiwe huru.

Polisi nao wakapambana na umati huo kwa kuwarushia mabomu ya kutoa machozi. Ndipo palipozuka kikundi cha watu na kwenda kutia moto kanisa na kuvunja mabaa. Baadhi ya waliovunja hizo baa wakipiga takbir (Allahu Akbar) na huku wakinywa pombe. Haiyumkiniki kwamba hawa walikuwa wafuasi wa dhati wa Uamsho.

Inafaa tuangalie jinsi matukio hayo yalivyokuzwa kupita kiasi na vyombo vya habari na kuwapelekea watu waamini kwamba ‘Zanzibar yateketea' na si pahala pa watalii, Wakristo au Wabara.

Bahati nzuri hakuna ubalozi wowote wa kigeni uliotoa taarifa kuwaonya wananchi wao wasiizuru Zanzibar; na wala hakuna mtalii yoyote au Mkristo kutoka Bara aliyedhuriwa. Kwa hakika tunapaswa kuwapongeza waandamanaji pamoja na majeshi ya usalama kwa kutofanya mambo ambayo yangelizidi kuifanya hali iwe mbaya.

Zamani polisi wakizoea kutumia nguvu kupita kiasi na waliwahi kuwaua waandamanaji wasiokuwa na silaha kama ilivyotokea Pemba mapema mwa mwaka 2001 pale watu kadhaa wasio na silaha walipouawa na vikosi vya usalama walipokuwa wakiandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010. Wao wakishikilia kwamba chama cha CUF ndicho kilichoshinda kwenye uchaguzi huo. Hayo yamepita.

Tukiyaangazia ya leo inasikitisha kwamba miongoni mwa waathirika wa matukio ya siku ile ya machafuko ni kanisa moja lililotiwa moto. Hiki ni kitendo kiovu, cha kishenzi na chenye kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu.

Ni kosa la jinai kuchoma moto mahala popote pa ibada. Pia ni kosa kubwa kujaribu kukilaumu chama chochote au jumuiya yoyote kuwa ndio iliyohusika na uchomaji moto huo.

Zanzibar ina umaarufu kwa mchanganyiko wake wa watu wa makabila, rangi na dini tofauti. Pia inasifika kwa jinsi Waislamu wake - ambao ndio wengi nchini humo - wanavyoingiliana na Wakristo wake ambao ni wachache sana. Kwa muda wa zaidi ya karne Wakristo hao wamekuwa na uhuru kamili wa kuabudu na wamekuwa wakipata hifadhi.

Juu ya kuwa Zanzibar inatafahari kuwa ni nchi ya Kiislamu, hatukuwahi kusikia katika historia au kushuhudia kwamba Wakristo wa Zanzibar wanabughudhiwa kwa sababu ya imani yao.

Kwa hakika, katikati mwa karne ya 19 na baadaye pale wamisionari Wakikristo wa kizungu walipokuwa wakitafuta njia za usalama za kupenya na kuingia katika eneo la Maziwa Makuu na sehemu za bara za Afrika ya Mashariki misafara yao yote ilianzia Zanzibar.

Masultani wa wakati huo waliwapa hao mamisionari wakizungu risala za kuwajulisha na machifu wa bara. Isitoshe masultani waliwapa hifadhi wamisionari huko Zanzibar. Hakuna mtu yoyote aliyethubutu kuwagusa hao wamisionari.

Kadhalika masultani walikuwa wakiwapa wamisionari watu wa kuwaongoza katika misafara yao ya kueneza Ukristo katika kanda ya Afrika ya Mashariki. Kama ilivyokuwa kwa mengi katika zama zile Ukristo nao pia ulianzia Zanzibar. Ndio maana makanisa makongwe kabisa katika Afrika ya Mashariki yako Zanzibar. Hata ile ardhi iliyojengewa makanisa ya Kianglikana na Kikatoliki katika Mji Mkongwe huko Unguja ilitolewa bure na sultani wa Zanzibar na kugaiwa madhehebu hayo mawili ya Kikristo.

Haielekei kwamba uvumilivu huo utatoweka. Hautotoweka kwa sababu uvumilivu huo umejengeka katika utamaduni Wakizanzibari na utamaduni huo ni wenye kuufuata Uislamu kama unavyotakiwa kufuatwa bila ya kuufanya uwe mgumu.

Utamaduni huo si tu kwamba unavumilia dini nyingine bali pia unaheshimu tofauti za kidini na za kitamaduni zilizo katika jamii. Na wala tofauti hizo hazitumiwi vibaya kwa minajili ya kisiasa.
Ndipo tunapokuwa hatuna budi ila kukubaliana na Rais Jakaya Kikwete aliposema kwamba kuuvunja Muungano hakuwezi kupatikana kwa kuchoma moto makanisa.

Kwa sasa jambo la busara ni kusubiri matokeo ya uchunguzi wa polisi kuhusu kadhia ya uchomaji moto kanisa. Tunatumai kwamba wahalifu waliochukua hatua hiyo watafikishwa mahakamani. Hatua yao si ya kijinga tu bali inaweza kuleta hasara kwa mengi.

Tusighafilike tukasahau kwamba hii leo wananchi wa Zanzibar wana uhuru wa kusema na wa kukusanyika kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar na sheria za nchi hiyo pamoja na zile za serikali ya Muungano zinazosema kwamba Tanzania - na hivyo Zanzibar - ni nchi za kidemokrasia.

Kadhalika, ni muhimu kukumbuka kwamba suala la Muungano ni suala lenye kuzusha hamasa na jazba kubwa kila linapojadiliwa na huvutia makundi ya watu bila ya kujali nani au jumuiya gani inalijadili suala hilo.

Jambo moja linalojitokeza katika mijadala yote hiyo na bahati nzuri hili si siri tena kwani Wazanzibari wamekwishauvua woga wao ni kwamba wengi wao, ingawa hawataki Muungano uvunjike, hawaitaki hali iliyopo sasa ya Muungano wa Katiba wenye kuifanya serikali yake iwe na nguvu na madaraka makubwa mno.
Wengi wao wangependelea badala yake pawepo na Muungano kama ule Muungano wa Ulaya. Kwa ufupi, wanataka Muungano wa nchi mbili zilizo huru zenye kutendeana wema na kushirikiana.

Kwa sasa Wazanzibari wanavuta subra wakingojea fursa ya kutoa maoni yao katika shehia zao juu ya mustakbali wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Kadhalika wanatambua kwamba baada ya hapo watapata fursa nyingine ya kutoa maoni yao kwenye kura ya maoni watapoulizwa iwapo wanaikubali au hawaikubali katiba mpya itayotungwa baada ya mchakato wa kutoa maoni.

Hiyo itakuwa ni fursa wasiowahi kuipata na itawawezesha kuigeuza hiyo kura ya maoni kuhusu katiba iwe kura juu ya Muungano.

Uamsho una msimamo wenye kuupinga Muungano. Sasa tujiulize iwapo Uamsho unaweza kuupata muradi wake wakati huu wa sasa katika mchakato wa kuipitia tena katiba.

Tusisahau kuwa jumuiya za kidini na zisizo za kidini zote zinaruhusiwa kutoa maoni yao juu ya suala la Muungano na hatima yake. Ruhusa hiyo ipo ilimradi pasiwe na sera ya kupambana na vyombo vya dola.

Kwa Zanzibar mpambano huo hauhitajiki kwa vile viongozi wa kisiasa wa itikadi tofauti mara nyingi wametoa matamshi wakieleza wazi msimamo wao kuhusu Muungano. Hata Rais Dk. Ali Mohamed Shein alinukuliwa hivi karibuni akisema kwamba anashiriki kikamilifu katika zoezi la kuipitia katiba akishirikiana na Rais Kikwete.

Tena kuna wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakieleza jinsi wasivyoridhishwa na Muungano. Hata kabla ya Uamsho kuanza harakati zake wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakiyatetea maslahi ya Zanzibar kama pale masuala ya mafuta na gesi asilia yalipofikishwa mbele ya Baraza.

Ingawa Uamsho bado haujatoa taarifa rasmi kuhusu sera zake, na ukifanya hivyo utajigeuza na kuwa chama cha kisiasa, viongozi wake hata hivyo, wamekuwa wakitoa mwito kutaka irejeshwe ile iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwa kupitia kura ya maoni itayowauliza wananchi iwapo wanautaka au hawautaki Muungano.

Ni wazi kuwa viongozi wa Uamsho wanauona huu mchakato wa sasa kuhusu katiba kuwa usio na maana.

Juu ya hayo bado viongozi hao hawakuonyesha njia inayoweza kutumiwa kutimiza lengo la kuirejeshea Zanzibar uhuru wake. Wala hawakuonyesha vipi hiyo kura ya maoni itapigwa na iwapo wataweza kutimiza lengo lao kwa kutumia njia za kidini na mikusanyiko ya kidini bila ya kuwahusisha viongozi wa Zanzibar na wa Muungano.
 
mkuu mkandara, umeongea mengi yenye hekima. Nichangie pale ulipoishia. Hawa uamsho wanaangalia mambo kwa wakati ule na eneo lile. Hawaangalii kwa mtazamo mpana hivyo gharama zake ni kubwa sana kijamii.

Kitendo cha kuwabagua watanganyika 'machogo' ni utamaduni unaotokana na chuki.
Wala chuki hiyo haiishii kwa wakristo, wanapotaka kuwasema waislam wanatumia neno machogo.

Wakati huu taifa likiwa katika mijadala kama oic na mahakama ya kadhi, ilikuwa ni dhima ya vikundi kama uamsho kuonyesha kwa mafunzo upendo,hekima na ustahamilivu na kuwatoa hofu wale wenye wasi wasi.

Kwa hili la kuwatuhumu wakristo na machogo, nani anaweza kusimama na kusema kwa dhati kuwa mahakama ya kadhi au oic ni mambo ya kawaida katika jamii.

Nani atakayeamini kuwa wazanzibar wameishi na wakristo(wanavyowaita) kwa karne katika uvumilivu!
Wenye lugha zao wanasema 'shoot yourself in the foot'

chuki ipo hata katika suala wanaloamini kwa pamoja kama muungano. Jussa ameshakaririwa mara nyingi akimlaumu karume. Ingawa anamlaumu kwa muungano nyuma yake kuna chuki dhidi ya mapinduzi. Ni kundi la akina jussa linaloamini kuwa mapinduzi si halali. Ukimuona mwanapinduzi mkereketwa basi mfananishe na jussa utapa jibu.

Wazanzibar hawamchukii nyerere kama binadamu au rais, chuki dhidi ya nyerere ni njia ya kujenga hoja.
Haiwezekani kukurupuka tu na kusema muungano umeletwa na wakristo. Ni lazima ziwepo theory za kubumba ili zilete kilichokusudiwa.wanapomtaja nyerere inaweza kuwa mara 3 baada ya hapo ukristo utatajwa mara 97.

Nyerere ni daraja tu la kufikia wanakokusudia. Haiwezekani maalim sefi, hamad rashi, mwinyi, nahodha, moyo wafanye kazi ile ''aliyokusudia'' halafu wao wasisemwe! Leo hasemwi jk inasemwa serikali, lakini haisemwi ya awamu ya kwanza anatajwa nyerere.

Nimesoma makala ya msemaji asiye rasmi wa wazbar katika gazeti la raia mwema. Siku za awali alikuwa anahubiri serikali tatu,akabadili na kuja na mkataba na yote hayo baada ya kukumbana na maswali leo anasema tuwe na ushirikiano kama wa eu. Msomi huyo haelezi mfumo huo utasadiaje pande mbili, na kwanini ushirikiano kama wa eu. Kwanini isiwe eac,sadc au fifa. Tanganyika itafaidika na nini. Msemaji huyo anajua madhara atakayoopata mlala hoi kwa bahati mbaya amechochea na sasa ni point of no return.
Alichokiri ni kuwa wzbar hawataki muungano ufe.

Kwa namna yoyote na akili yoyote ukiweka faida za muungano na hasara zake hakuna shaka faida ni nyingi sana kwa zbar. Labda niwe blunt, bara hawafaidi chochote zaidi ya kuwa mbeleko.

Tatizo ni kuwa umma umetekwa na hawa watu wa oman, wanaahidiwa maziwa na asali,, biriani na makaimati kila uchao.
Kwa mzbar wa kawaida kifo cha muungano ni ongezeko la dhiki.

Ni ongezeko la dhiki kwasababu kwa hali yoyote kuna mahali zbar itakuwa katika kivuli cha tanganyika.
Kwa tanganyika, tumechoka kutoa kila siku na malalamiko kila uchao.
Muda wa kuwa mshumaa umekwisha.
Let zanzibar go! Pack and go.

Hakuna majadiliano yatakayokubalika zaidi ya kuwacha waende.
Mwenye hoja kwanini tubaki nao, tafadhali iweke hapa utushawishi wengine. Vingnevyo treni imeshaondoka

pale askofu anaposimama kwenye misa na kutamka kuwa ni lazima serikali iwasimamishe muamsho kama haitafanya hivyo kanisa litaifanya hiyo kazi , yani kanisa lina mamlaka kuliko serikali , unategemea nini ???
 
Wiki ijayo inshallah; tutaipeleka hii hoja mbele zaidi... muda wa watu wa bara(Tanganyika) kukaa kimya na kuchapwa makonde ya kejeli kila siku umepita. WE CAN DEFEND who we are.

Now you are talking!
Lakini mbele zaidi ni wapi? Kwa kikundi kama UAMSHO? Au tutamfadhili Rev. Mtikila arudi ulingo wa Siasa na sera ya Tangayika na utanganyika? Hakuna chama kinachoweza kujitutumua kusema kina sera ya kuuvunja Muungano.

Bado sioni kama kuna mbele zaidi kama hizi kelele na mayowe tunazopiga hapa JF hazipata Chama cha siasa ambacho kitakuja na sera ya Utanganyika na serikali ya Tanganyika. Hakuna chama kinachoweza kujitutumua kusema kina sera ya kuuvunja Muungano.
Hata sisi tunaondika hapa JF,waleta mada na masapota wakuu tunatafuta visingizio kama hivi UAMSHO wamechoma makanisa, Let Zanzibar go. Sijaona bado M.M au Nguruvi3 anasema vunja Muungano huu kama ile UAMSHO. Mimi bado natafsiri kuwa bado tunafanya "nyau , nyau" tunatisha panya.

Vyama vyote ambavyo vina uhai vina sera ya Muungano wa serikali tatu. CHADEMA. CUF....CCM wana sera ya Muungano wa serikali mbili kuelekea moja (utanzania na Tanzania na sio ubara au utanganyika)

Je kuna kikundi ambacho kitafanya kazi ya kuamsha kama UAMSHO wa Zanzibar mbali na online JF,M. Mwanakijiji, Nguruvi3, JokaKuu, Nonda,Mkandara, Pasco, JokaKuu, Kamwemwe, Chilisosi na kechapu?

Mbele zaidi ni wapi?
Isije ikawa kama Salmini Amori aka kutikisa kiberiti.

Narudia historia imeshajiandika kwa kila anaekuja na uthubutu wa kudadisi Muungano, kutaka ukarabati wa Muungano au kuibua utanganyika huondoka majeruhi/ hakuna aliyesalimika. Tunaweza kumwuliza Malecela, Jumbe, Seif SHarif na Hamad Rashid, Rev. Mtikila nk.Je sisi tunao ubavu?

Nimeweka masikio wazi kutaka kujua hoja hii itapelekwa mbele wapi?

Hoja ya Pack and go, Let Zanzibar go! kama haitapata ufadhili wa chama cha siasa kwa TZ itakuwa ni sawa kupiga ukelele jangwani, kumwaga kichupa cha wino baharini.

Good luck to all of us who want to defend who we are !
 
kumbe nyie wavisiwani mnataka mfukuzwe na kuchomewa nyumba zenu huku bara ndio mjue kuwa watanganyika hawaupendi muungano?.....

Hizi salamu zimewafika watu wa ukerewe na mafia uliowakusudia. Wamesema wataondoka siku ikirudi Tanganyika. Wengine wamesema wataomba green card ya Tanganyika, wengine wamesema wataomba kibali cha ukaazi.

Nimefurahi sana kusikia leo kuna watanganyika...juzi tu kuna mtu zilisema Tanganyika haipo imekufa/ imefutwa.
Mtu nyengine zimesema hata Zanzibar ikijikata basi bado tubaki na jina Tanzania!
Are we serious, bro?

Je tutaiita nchi yetu Bara? na wakazi wake tutawaita wabara? na hivyo wakerewe na wamafia wajitangaze kuwa wao ni wavisiwani?
 
Wiki ijayo inshallah; tutaipeleka hii hoja mbele zaidi... muda wa watu wa bara kukaa kimya na kuchapwa makonde ya kejeli kila siku umepita. WE CAN DEFEND who we are.

Hakuna Mtanganyika mwenye ujasiri huu wa kupinga muungano live, na hatatokea kamwe!

Nani wa kumfunga paka kengere? hongera japo umethubutu. mzee wangu!
 
Zinadine

Kwa vile wewe unaisapoti hii "Let Zanzibar go!"
Nitazungumza na kamanda Nguruvi3 ili afumbie macho ardhi uliyonayo wewe, pengine tutakupatia uraia wa Tanganyika. ili uthiathirike na hii

Zinadine usiwe na wasiwasi hapa si unaona menyewe bana Kamanda amekukubali tayari.




Waalabu wa Pemba bana,................

Nonda,
Mimi Tanganyika pia nimeasili hivyo sio suala la hisani kubaki na Mashamba yangu, yale ni ya kwangu na familia yangu. Mi sikuvuka bahari ki-upemba, nimevuka kwenda kwa babu alikotoka mama, sasa labda unambie kuwa hakuna sheria ya kurithi kwa mama; bahati mbaya kule kwa baba hakuna Mashamba, kuna "kibanda" tu pale kwa mchina!. Mimi tokea nimepata akili nimejikuta naishi na wanaadam, so sipendi kuwadharau, kuwatusi au kuwaona hawako human perfect hivyo siridhishwi na maneno yanayotolewa na audience wa JUMIKI. Hata hivyo, mambo yana pande mbili kuna mazuri na mabaya hivyo ilipaswa JUMIKI waeleze yote then watoe best advisory, Kwani hata M/Mungu ameiharamisha pombe baada ya kubainisha kuwa ina faida na hasara isipokuwa hasara zimeizidi faida. Sasa turejee katika uhalisia wa Muungano, ni kweli hauna hata faida moja, japo hizo faida zizidiwe na mabaya? Lakini kila mchangiaji wa mihadhara ile ni matusi, kashfa, dharau-siyo hivyo, dini haitufundishi hivyo katu, Nonda naamini una element za imaan, so tuwe wakweli kwamba wanachofanya JUMIKI siyo kizuri wao wangelihamasiha watu wakatae Muungano bila matusi, kinyume chake kila anayesimama na kutoa matusi ndiye anayeoonekana mchangiaji mzuri. Kweli, binaadam mwenzio utamwita maji machafu!
 
Back
Top Bottom