Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Dawa ya kiburi ni jeuri
 
Asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
Wanaume wanao tuma.nauli tumejieleza, wanawake wasio tumiwa nauli waliejeleze wana mkosi.gani, wengine wanatumiwa tuuu we hutumiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…