Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Hilo wao hawalitambui, kuna malaya alinilia hela 40k, nkamuuliza ushakata tiket akanijibu amepata udhuru hata kuja kuna msiba kwao ghafla, nkapiga mahesabu asishtukie kuwa nimeshtuka kama ni tapeli. Nikampa pole nkamwambia hata hivyo nami nimebanwa kazini.

Sikuonesha kupanick jioni yake nkamtumia 20k ya pole kwa masiba na kumpeti peti, demu akazidi kunielewa. After 5 days nkamtumia 50k. Akajaa akaanza kujibebisha, yeye mwenyewe akaomba appointment, alivyofika nkamtoa out vinywaji sana mwenyewe anakunywa Mtakatifu Anne, taratibu ikaanza kumlegeza.
Kufika machinjioni nilimfanya kila tundu, na siku anarud nilimkatia tiket nkamwambia ntamrushia pesa kwa cm ya kula njian. Hakua hata na mia ya kula safarini.
Dawa ya kiburi ni jeuri
 
Na nimeshakula hela ya mama mmoja tulikubaliana nimfuate alipo kiuhalisia nilikua sina hela na yeye alikua anajua ndio najitafuta basi akatuma hela mm nikaamka asubuhi mapemaa nikaingia zangu sokoni kununua matunda na mazaga ya gengeni nikasingizia nimepata ajali nikatumiwa mpunga mwingine. Chanzo cha kula hela ni njaa zangu sikua na hela ya mzigo na pili nina kinyaa sana hilo limama linalazimisha ulipige denda dah hapo ndio mtihani unapoanzia maana ni mzee alafu mate yake nilikua naona kama yanavutika (udenda) Mungu tu anisamehe ila dunia hii kuna mengi
Asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
Wanaume wanao tuma.nauli tumejieleza, wanawake wasio tumiwa nauli waliejeleze wana mkosi.gani, wengine wanatumiwa tuuu we hutumiwi.
 
Back
Top Bottom