Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Sijawahi na situmi nauli kwa mwanamke niliyekutana nae mara moja tu. Ni either aje kwa nauli yake nitamrudishia au a request.

Nimeshaliwa nauli mara kadhaa na mademu ambao nimeshawala, na nilishajitengenezea utaratibu wangu. Ukila nauli yangu na tunafahamiana wala sitokuuliza. Napiga zangu kimya tu najua

Sisi ni Pipo.....
Ikija tokea kabanwa anahitaji nimsaidie, huwa ni burdani mujarab sana kwangu
 
Pmj mkuu
 
Alikula nauli ya kuja Moro toka dar nikampasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo nimemtuma mimi
Khaaa huu ni unyamaaaa mwingi sanaaa
 
Back
Top Bottom