Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
[emoji3][emoji3][emoji3]Daaaaa uzi umenishitua nipo kwa wakala hapa nataka kutuma nauli roho imesita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Daaaaa uzi umenishitua nipo kwa wakala hapa nataka kutuma nauli roho imesita
Hiyo ilikuwa ni miaka 3 iliyopita tangu siku hiyo mpaka Leo sijawahi kumtumia manzi yoyote nauliNdo utulie sasa, ufikirie dili za pesa. Sie wala nauli hatujawahi kuisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Pmj mkuuSijawahi na situmi nauli kwa mwanamke niliyekutana nae mara moja tu. Ni either aje kwa nauli yake nitamrudishia au a request.
Nimeshaliwa nauli mara kadhaa na mademu ambao nimeshawala, na nilishajitengenezea utaratibu wangu. Ukila nauli yangu na tunafahamiana wala sitokuuliza. Napiga zangu kimya tu najua
Sisi ni Pipo.....
Ikija tokea kabanwa anahitaji nimsaidie, huwa ni burdani mujarab sana kwangu
Nilituma hii nauli na ikaliwa ningejua hata nisingetuma aiseeDaaaaa uzi umenishitua nipo kwa wakala hapa nataka kutuma nauli roho imesita
Watu waliliwa nauli ya USA $500 wakapotezea, halafu weye imeliwa buku 10 tu ya madafu unabweka hapa, we ni mpare?ila the moment nauli ililiw iliniuma mno.
Kweli mkuu hasira zake unatamani hadi upige ukuta au hata Wew mwenyew, Ila Kuna madem wengne washenz sanaKinachouma sio nauli bali ni nyege Aise.. Mtu unanyege halafu hatokei hizi si dharau
Yani ni miyeyusho sanaKweli mkuu hasira zake unatamani hadi upige ukuta au hata Wew mwenyew, Ila Kuna madem wengne washenz sana
Khaaa huu ni unyamaaaa mwingi sanaaaAlikula nauli ya kuja Moro toka dar nikampasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo nimemtuma mimi
Uanaume huoKhaaa huu ni unyamaaaa mwingi sanaaa
Kazi nzuriAlikula nauli ya kuja Moro toka dar nikampasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo nimemtuma mimi
Hakuna namnaKazi nzuri
Ndy maana me enzi zangu nilikuwa natembea na pesa ya akiba kuogopa fedheha kama hiziUanaume huo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila jua siku akikuweka kwenye 18 zake atacheza na line zote 2