Na wewe ni Great Thinker? Huoni aibu kuandika uharo kama huu?Hiki kituo cha LHRC kimekosa kazi za kufanya, kama kuna ushahidi katekwa pelekeni polisi wafuatilie....na wakamatwe.
LHRC acheni kuchochea mambo.Badala ya kutoa taarifa polisi nyinyi mnaibuka kulaaani.
kuna watu wanauliwa na majambazi mbona huwa hamlaaani? au hilo haliwahusu? kinacho wahusu nyinyi ni KATIBA tu sio kutetea uhai w watu? acheni unafiki. badilikeni msitumike. chungeni malengo yenu.
Facts 👍Asante kwa kupaza sauti, lakini kosa la sauti hii ni kuutuhumu au kuituhumu serikali Moja kwa moja. Hamuoni kwamba inawezekana maadui wa utawala wa mama Samia pia wanaweza kufanya hivyo ili kuuchafua utawala wa mama kwa kuwa watanzania wengi wameanza kupata matumaini?
Kwa nini hamkuwatuhuhumu wasiojulikana moja kwa moja? Hivi hatujui kwamba kipindi hiki mama ana wakati mgumu sana wa kututoa huko tulikotoka?
Nchi imetoka kufiwa na Rais hivi karibuni, mama ametwaa utawala hivi karibuni baada ya kufiwa, hata nusu mwaka hajamaliza tunaanza kumtwisha mituhuma kibao, hivi lengo letu ni nini watanzania?
Mnachosha mpaka akili. Kila mtu anajifanya anajua, ebu mwacheni mama atutengenezee nchi bwanaaa aha!
Ndugu yangu weee....Hiki kituo cha LHRC kimekosa kazi za kufanya, kama kuna ushahidi katekwa pelekeni polisi wafuatilie....na wakamatwe.
LHRC acheni kuchochea mambo.Badala ya kutoa taarifa polisi nyinyi mnaibuka kulaaani.
kuna watu wanauliwa na majambazi mbona huwa hamlaaani? au hilo haliwahusu? kinacho wahusu nyinyi ni KATIBA tu sio kutetea uhai w watu? acheni unafiki. badilikeni msitumike. chungeni malengo yenu.
hapo ndipo ninapo washangaa LHRC, tena kuna wanasheria lkn kwa maksudi wanapotosha...badala ...ya..."kukamatwa" wanasema "katekwa", hatujui pia lengo haswa la LHRC ni lipiKwani kakamatwa au katekwa!? Kukamatwa na kutekwa ni vitu viwili tofauti kabisa!!
Alijua amewekwa tu bosheni hakuna Mataga aliyeamini kuwa Jiwe atakufa ndio maana Bashiru alikataa asiapishwe eti kwa kigezo ni Mwanamke.Alikubali vipi kuwa makamu wa wahuni
Alaumiwe mama kwa hili, maana alishashauriwa sana awatupe watu wa mwendazake na hakutaka kusikia, the blame is on HER!!!
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Nyumbu hawawezi kujua hiloWatu wa Mwendazake ndio akina nani ikiwa Serikali hii awamu ya sita ikiwemo Rais wetu Mamá Samia, Makamu wake Dr Mpango, PM Majaliwa na watendaji wengi waliomo ni sura ile ile ya awamu iliyopita!???
Au Mamá Samia na Dr Mpango ni zao la upinzani!????
Acheni kutuvurugia nchi enyi wapuuzi wa ufipa
Huyu jamaa anayesemekana kutekwa ni mmoja ya wafuasi wa Lipumba walioleta vurugu siku za nyuma wakati CUF inagawanyika. Alituhumiwa kushiriki kumteka mfuasi wa Maalim Seif (RIP). Hili jambo ni la kuangalia kwa macho matatu. Inawezekana kuna namna.Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.
Pole sana.... kumbe haujui vizuri nchi inavyoendeshwa na cabals...Hii ni aibu kubwa!.
We didn't think these criminal acts would continue in Samia's administration.
We still have faith in her that she will not tolerate kidnappings, otherwise it will be a disaster if things continue like this.
We want freedom of speech, freedom to organise, freedom of assembly and be treated fairly within the bounds of the law!
Majitu ya mtandaoni haya mkuu hayajitambui...Watu wa Mwendazake ndio akina nani ikiwa Serikali hii awamu ya sita ikiwemo Rais wetu Mamá Samia, Makamu wake Dr Mpango, PM Majaliwa na watendaji wengi waliomo ni sura ile ile ya awamu iliyopita!???
Au Mamá Samia na Dr Mpango ni zao la upinzani!????
Acheni kutuvurugia nchi enyi wapuuzi wa ufipa
Hahahaha poleni sana vidampaJumong ameanza kuua kama kaka yake?Kumbe ile hijabu nyekundu she mean a business![emoji124][emoji124][emoji124]
Jumong ana laana za Kaka yake.She is cursed one term president.Hahahaha poleni sana vidampa
Kama unajua ilikofichwa hiyo kiki si uwaambie?Hawa wanajaribu kutafuta kiki
Mama anatakiwa asafishe ule ukoko wa MwendazakeView attachment 1800206
Kwani Mama alikuwa wa nani? Pumbavu!!!Alaumiwe mama kwa hili, maana alishashauriwa sana awatupe watu wa mwendazake na hakutaka kusikia, the blame is on HER!!!
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app