LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Hiki kituo cha LHRC kimekosa kazi za kufanya, kama kuna ushahidi katekwa pelekeni polisi wafuatilie....na wakamatwe.

LHRC acheni kuchochea mambo.Badala ya kutoa taarifa polisi nyinyi mnaibuka kulaaani.

kuna watu wanauliwa na majambazi mbona huwa hamlaaani? au hilo haliwahusu? kinacho wahusu nyinyi ni KATIBA tu sio kutetea uhai w watu? acheni unafiki. badilikeni msitumike. chungeni malengo yenu.
Na wewe ni Great Thinker? Huoni aibu kuandika uharo kama huu?
 
Asante kwa kupaza sauti, lakini kosa la sauti hii ni kuutuhumu au kuituhumu serikali Moja kwa moja. Hamuoni kwamba inawezekana maadui wa utawala wa mama Samia pia wanaweza kufanya hivyo ili kuuchafua utawala wa mama kwa kuwa watanzania wengi wameanza kupata matumaini?

Kwa nini hamkuwatuhuhumu wasiojulikana moja kwa moja? Hivi hatujui kwamba kipindi hiki mama ana wakati mgumu sana wa kututoa huko tulikotoka?

Nchi imetoka kufiwa na Rais hivi karibuni, mama ametwaa utawala hivi karibuni baada ya kufiwa, hata nusu mwaka hajamaliza tunaanza kumtwisha mituhuma kibao, hivi lengo letu ni nini watanzania?

Mnachosha mpaka akili. Kila mtu anajifanya anajua, ebu mwacheni mama atutengenezee nchi bwanaaa aha!
Facts 👍
 
Hiki kituo cha LHRC kimekosa kazi za kufanya, kama kuna ushahidi katekwa pelekeni polisi wafuatilie....na wakamatwe.

LHRC acheni kuchochea mambo.Badala ya kutoa taarifa polisi nyinyi mnaibuka kulaaani.

kuna watu wanauliwa na majambazi mbona huwa hamlaaani? au hilo haliwahusu? kinacho wahusu nyinyi ni KATIBA tu sio kutetea uhai w watu? acheni unafiki. badilikeni msitumike. chungeni malengo yenu.
Ndugu yangu weee....

Unategemea nini kwa watu wanaotegemea ruzuku na mishahara kutoka nje ya nchi ?!!!!!!
 
Mabilioni yakitoka huko nje kwa WAHISANI basi baadhi ya Wamakonde ,Wazaramo ,Wamatumbi ,Wachaga ,Wakurya Wasukuma na wengineo WANATAKA KUISUMBUA SERIKALI NA KUUONDOA UTULIVU.....

FEDHA ya kigeni hiyo........
 
Kwani kakamatwa au katekwa!? Kukamatwa na kutekwa ni vitu viwili tofauti kabisa!!
hapo ndipo ninapo washangaa LHRC, tena kuna wanasheria lkn kwa maksudi wanapotosha...badala ...ya..."kukamatwa" wanasema "katekwa", hatujui pia lengo haswa la LHRC ni lipi
 
Alikubali vipi kuwa makamu wa wahuni
Alijua amewekwa tu bosheni hakuna Mataga aliyeamini kuwa Jiwe atakufa ndio maana Bashiru alikataa asiapishwe eti kwa kigezo ni Mwanamke.
 
Jumong ameanza kuua kama kaka yake?Kumbe ile hijabu nyekundu she mean a business!🚶🚶🚶
 
Alaumiwe mama kwa hili, maana alishashauriwa sana awatupe watu wa mwendazake na hakutaka kusikia, the blame is on HER!!!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app

Watu wa Mwendazake ndio akina nani ikiwa Serikali hii awamu ya sita ikiwemo Rais wetu Mamá Samia, Makamu wake Dr Mpango, PM Majaliwa na watendaji wengi waliomo ni sura ile ile ya awamu iliyopita!???

Au Mamá Samia na Dr Mpango ni zao la upinzani!????

Acheni kutuvurugia nchi enyi wapuuzi wa ufipa
 
Nyumbu hawawezi kujua hilo
 
Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.
Huyu jamaa anayesemekana kutekwa ni mmoja ya wafuasi wa Lipumba walioleta vurugu siku za nyuma wakati CUF inagawanyika. Alituhumiwa kushiriki kumteka mfuasi wa Maalim Seif (RIP). Hili jambo ni la kuangalia kwa macho matatu. Inawezekana kuna namna.
 
Hii ni aibu kubwa!.

We didn't think these criminal acts would continue in Samia's administration.

We still have faith in her that she will not tolerate kidnappings, otherwise it will be a disaster if things continue like this.

We want freedom of speech, freedom to organise, freedom of assembly and be treated fairly within the bounds of the law!
Pole sana.... kumbe haujui vizuri nchi inavyoendeshwa na cabals...

Endelea kupayuka mtandaoni ati ooh samia tuna matumaini na wewe! Hahahaa

Haya sawa
 
Watu wa Mwendazake ndio akina nani ikiwa Serikali hii awamu ya sita ikiwemo Rais wetu Mamá Samia, Makamu wake Dr Mpango, PM Majaliwa na watendaji wengi waliomo ni sura ile ile ya awamu iliyopita!???

Au Mamá Samia na Dr Mpango ni zao la upinzani!????

Acheni kutuvurugia nchi enyi wapuuzi wa ufipa
Majitu ya mtandaoni haya mkuu hayajitambui...
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Namheshimu sana mama hawezi kufanya ujinga huo,wafuasi wa mwendazake wanamchafua
 
Back
Top Bottom