LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

Tufanye wewe ndio LHRC, ungefanya nini zaidi ya hiki wanachofanya?
 
Hawa LHRC inaonekana banjoo wamemjuwa leo

Ova
Yaani hawa LHRC wanakera kinyama. Mwaka 2004 mtoto aliuwawa pale Sanawari kwenye duka la simu wakati majambazi yakiwa kwenye uporaji. Mtoto alipigwa risasi bahati mbaya na majambazi. Na kwenye
 
Ni kweli wangemfikisha kwenye vyombo vya Sheria,
Kitendo cha kusema kwamba akipelekwa police / mahakamani anatoka.

Ni kuonyesha mahakama na police Nchi TZ, hazina weledi wa kutosha.

Kitendo cha kumua mshukiwa kinapoteza taarifa nyingi za ki intelligenceia.
 
Ila bongo watu hawana huruma. Banjoo alikuwa anatafuna njugu minjingu booster. Wangemuacha tu afe kifo cha kawaida.

King Kong III
Sijajua ni kwanini vijana wakipata pesa starehe zinakuwa nyingi mwisho wa siku wanavamia DEGE LISILOLIWA na kujikuta wana KAZEZE.....Ngumu kumkuta mtu mwenye pesa 30 -50+ hatafuni NYUGU.
 
Majambazi hawastahili kuishi ,katika vitu ambavyo JIWE alipatia ni kumaliza GENGE LA MAJAMBAZI....Kipindi chake majambazi walikula VYUMA sana.

Inaonekana BANJOO alianza ujinga wake tena wa UJAMBAZI ndiyo maana POLISI wakaona bora wamalizane NAYE.
 
Hawa LHRC wamemjuwa banjoo juz juz tu
Inaelekea rekodi zake walikuwa hawazijuwi

Aise,naona huko Mexico washamalizana na El mencho kiongoz wa CNJG cartel .....

Ova
 
El mencho kamalizwa ila vurugu kila sehemu
Hawa LHRC wamemjuwa banjoo juz juz tu
Inaelekea rekodi zake walikuwa hawazijuwi

Aise,naona huko Mexico washamalizana na El mencho kiongoz wa CNJG cartel .....

Ov
 
Huko Malawi...Ukipata hela kwenye ujambazi wa kupora watu madini unabadilika jina ghafla na kuitwa MFANYABIASHARA MKUBWA!
 
Hawa LHRC wamemjuwa banjoo juz juz tu
Inaelekea rekodi zake walikuwa hawazijuwi

Aise,naona huko Mexico washamalizana na El mencho kiongoz wa CNJG cartel .....

Ova
Naona walikurupuka ,Majambazi wanaumiza familia nyingi ,majambazi wamefanya familia zinaishi kwa shida ,zimezalisha watoto yatima wa ktuosha ,majambazi yanaathiri UCHUMI wa NCHI.

Majambazi dawa yao ni kuwapa VYUMA tu hakuna namna nyingine.

SHughuli za uchumi zinaathiriki kwa uwepo wa majambazi ,enzi walikuwa wameshamiri biashara zilikuwa zinafungwa saa 12 jioni ,magari hayasafiri usiku means bidhaa nyingi zinahadimika sokoni.

Once a jambazi is always jambazi ....Banjoo amevuna alichokipanda....Alishahili kula CHUMA.

Hayo mambo ya kusema alikuwa sijui mtu wa watu oh aliacha ujambazi ni upuuzi ,majambazi machoni kama watu ila ikifika MIDA ya KAZI wanakuwa MASHETANI.
 
Niko mbali lkn vyanzo vyangu vya habari
Inasema,jamaa ktk hapa alipiga hela ndefu huko
Sema mwamba naye alikuwa kila mtu ana mtime inawezekana system au majamaa tu aliyowafanyiaga undava
Siku zote undava una mwisho wake
System yenyewe inaweza kukuchoka wale wanaokulinda watakulinda mpk wenyewe watasema basi wanaachana na wee

Naunga mkono hoja. Kule Arusha ilifika hatua mvua kubwa ikinyesha usiku wafanyabiashara wakubwa wengi hawalali.
 
Inasikitisha sana ,majambazi dawa ni kuwapa vyuma maana wanasababisha taharuki na amani kutoweka ,hadi imefikia hatua ya BANJOO kuuawa means alikuwa anafanya ujambazi wa kimya kimya.
 
Niko mbali lkn vyanzo vyangu vya habari
Inasema,jamaa ktk hapa alipiga hela ndefu huko
Sema mwamba naye alikuwa kila mtu ana mtime inawezekana system au majamaa tu aliyowafanyiaga undava
Siku zote undava una mwisho wake
System yenyewe inaweza kukuchoka wale wanaokulinda watakulinda mpk wenyewe watasema basi wanaachana na wee

Ova
Huyo Banjoo atakuwa alianza upigaji wake na akasahau kwamba awamu ya kuanzia jiwe na kuendelea hawachecki na MAJAMBAWAZI.
 
Back
Top Bottom