Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Miji inayopendelewa kwa huge projects hapa nchini ni Dsm,Dodoma na Arusha, kwingine ni kama sio Tanzania sasa wana chuga mnataka mfanyiwe nini?
 
Watu wa Arusha hamna shukrani mnapendelewa sana na serikali ya mama SSH,mnataka awape nini ?
Kila mradi wa kimataifa wanapata wao sijui wanataka wafanyiwe nini hawa wala ngada.
 
Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
..Labda wanaacha kuweka lami ili kulinda uasilia wa jiji kama ambavyo hairuhusiwi kuweka lami ndani ya hifadhi...๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ž

Karibu Arusha, karibu Tanzania nchi tajiri Omba omba.
 
Miji inayopendelewa kwa huge projects hapa nchini ni Dsm,Dodoma na Arusha, kwingine ni kama sio Tanzania sasa wana chuga mnataka mfanyiwe nini?
Wanataka roho ya mama yetu mpendwa.
 
..Labda wanaacha kuweka lami ili kulinda uasilia wa jiji kama ambavyo hairuhusiwi kuweka lami ndani ya hifadhi...๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ž

Karibu Arusha, karibu Tanzania nchi tajiri Omba omba.
Kiongozi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Arusha majitu mafisadi sana kuliko mji/jiji lolote na limeshindikana
Mkuu angalau wewe unajua hili๐Ÿ‘๐Ÿ‘ kuna viazi hapa wanaleta ushabiki.
 
Eti tupo mavumbini

Ila hii Nchi bado tunasafari ndefu sana ya Maendeleo
We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
 
Dogo huwezi kuandika taira๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…jamaa ndio elimu ya kwenu kama sio ujinga.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Umebadilisha kiazi wewe

Kiazi huyo hapo kweny picha ndugu yenu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hili Jiji ni aibu kwa kweli na hangaya anazuru kila mara lakin sijui anafichwa na watendaji wake
 
Dogo huwezi kuandika taira๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…jamaa ndio elimu ya kwenu kama sio Dogo huwezi kuandika taira๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…jamaa ndio
Nakuonea huruma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ