Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Sio watu wote wanagombania watoto, wengine wanawakimbia kabisa.
 
Umeongea kwa uchungu sana rafiki, Inaelekea kuna vitu unapitia vya kuhuzunisha πŸ˜₯
 
Umeongea kwa uchungu sana rafiki, Inaelekea kuna vitu unapitia vya kuhuzunisha πŸ˜₯
Unacheza na katoto kako kanakufurahia kwelikweli kenyewe kanadhani baba au mama wanaweza kila kitu kumbe kuna wakati atakua kama wewe agundue maisha yanamhitaji yeye kwenye mazingira ambayo ni hatari kama ujuavyo,, alafu afikirie sababu ya sisi kuwepo duniani bila majibu
 
Bora nisizae uenda kuna mtu namuepusha na mabalaa ya dunia..!! πŸ˜₯πŸ₯Ή
Duniani si sehemu salama ,mtu akipata furaha kidogo basi kuna changamoto mbeleni...Mapenzi yanaumiza ,wivu ,tamaaa , magonjwa yaani hakuja raha hata kidogo
 
Mdogo hajui chochote ngoja akue changamoto ni nyingi sana ,pale anapoanza kupata hisia za mapenzi basi kaongeza tatizo...Safari ni ndefu .
 
Tuanze na mayatima , watoto wa mtaani , ombaomba hawa wote hatujatatua tunaongeza watu wapya ... Kiufupi tunalea matatizo hayatokaa yaishe milele.
Watu hasa waafrika ni selfish sana. Unakuta mtu mtu ana maisha mazuri lakini anaacha watoto wa ndugu yake ambao ni yatima wateseke huku yeye anakula bata na kuongeza watoto wengine duniani.
Kama kila familia ingejali watu wake sidhani kama kungekuwa na watoto yatima au wa mitaani.
 
Uliposikia mke wako amejifungua ulifurahi au ulihuzunika?

Na mchakato wa kumpata huyo mtoto ulikuwa wa furaha au wa mahuzuniko?
​
 
Watoto ndiyo faraja yao
 
Kweli kabisa
 
Uliposikia mke wako amejifungua ulifurahi au ulihuzunika?

Na mchakato wa kumpata huyo mtoto ulikuwa wa furaha au wa mahuzuniko?
​
Tunazungumzia anayezaliwa sio anayezaa kwa maamuzi yake ,akizaliwa unakuwa na furaha ila yeye analia.
 
Kwa nini usifikirie wewe uwe sehemu ya hio serikali/kama serikali,uzipate hizo Kodi,uzitumie kama Mwigulu,mabalozi,wabunge etc..............."The strongest one will survive"
 
Kwa nini usifikirie wewe uwe sehemu ya hio serikali/kama serikali,uzipate hizo Kodi,uzitumie kama Mwigulu,mabalozi,wabunge etc..............."The strongest one will survive"
Ubinafsi kwa nn unajiangalia wewe tu ? Unataka unufaike kihisia na kijamii wakati wengine wanaumia ...Fikiria mara 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…