Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

Pole sana, hata Mimi nisingekubali kuendelea kukaa pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha juzi kati nlienda kununua mboga kwa Hawa mama wa genge nlichokua mboga nyanya vitunguuu na mazaga mengine madogo dogo baada ya kumaliza nliamua kuviacha hapo sababu nilikuja na mazungumzo mafupi na msela angu...
Baada ya mazungumzo nilirudi nichukue vitu vyqngu kwa haraka nilichukua tu mboga nkaacha nyanya baada ya hatua chache nlikumbuka nkarudi nkachukua nyanya..
Kumbe bana muda nabeba nlishikaniza vifuko viwili sabu kuna washkaj tunakaa hostel moja walikua wanahemea pia baada ya kuacha nyanya pale waliweka karibu na nyanya nilizochukua,pengine ningeshtuka ata uzito kuwa kuongezeka ila isingewezakana sabu mkono mmoja nkutwa naongea na simu hivyo nilitumia mkono mmoja kubeba vile kifuko vya nyanya plus maharage yangu bana..safar ikaanza kurudi gheto..ikumbukwe ilikua usiku na mimi akili ilkua tu kwenye simu na kushikilia mboga yangu na nyanya kwa nguvu...
Hatua ka 10-15 kutoka kweny kibanda moja wa wale masela akaniita,
Flaaaniii eh!,et umebeba vifuko vingapi vya nyanya? Mimi nikajibu kimoja sabu kumbkumb nzokua nakumbuka nlishika kifuko kimoja.hahahah nlipiga hatua ka mbili nkamulika nashangaa naona lundo la nyanya ikiwa mi zangu zilikua nne tu kucheki vizur naona nina vifuko viwili...
Hahahah nkapiga plan nkisema nirudishe ntaonekanaje ikiwa niliulizwa nkasema ni kimoja nionekane mwizi wa nyanya??nikaamua kusonga mbele.
Baada ya hatua kadhaa tena mbele sjafika mbali yule maza wa genge akaniita tena safari hii akinitaka nirudi,nkapiga hesabu kali kisenge nkawaza naenda aibika,nlichofanya muda narudi nkatega kivuli cha nyumba giza umeme umewaka...nkarusha fungu moja hahahah nafika kwa maza nyanya za washikaji ndo ninazo af mi zangu ndo sina kumbe katka kurusha nilirusha zangu afu nkabaki na nyanya za washikaji nliiaibika japo nlipunguza aibu kimtindo alinipa nyingine sabu nlimwambia mi zangu nliacha hapa ndo maana nlivyofka nikabeba tuu so sjui lolote
 
Hii ni Kali kuliko zoteee[emoji23][emoji23][emoji23] ,pole sana kamanda ,nimecheka sanaaa
 

Unasoma SAUT Unakaa masha au nyamalango
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah pole sana bro[emoji26][emoji26]
 
Mbwa dume pole sana aisee...hyo ilikua zaidi ya fedhea ilikua ni tragedy.....
Vipi mlioana au uliamua kuondoka mazima..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Nilikuwa naenda interview posta huko Amani place, sasa ile milango yao ya kuzunguka ilinitia ushamba plus macho mabovu huku nimevaa glasses niliparamia kioo mzima mzima aibu na ndani kuna watu wameniona.

2. Niliwahi kualikwa na jirani yetu nyumbani kwake kula iddi ya 2021. Kufika pale kuna mazagazaga ya kila aina. Nili serve 2 rounds nikashusha na juisi tumbo ndiiii... Na haikupita ata muda nikaanza kujihisi vby kutapika hewa nzito, nikasema nitoke nje sikumaliza ata hatua mbili nilitapika kila kitu kwenye ngazi na walisikia ila nikasepa kimya kimya baada ya kusafisha.
 
Wewe jamaa sio mstaarabu kabisa. Unatumiaje nail cutter ya mtu mwingine kukatia kucha zako??? 😡😡 kuandika huu uzi ni jambo lingine lililokutia aibu. Umenikera kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…